• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

"MAOFISA MAWASILIANO SERIKALINI, ZUMGUMZIENI MAFANIKIO YA SEKTA ZOTE NCHINI" Msemaji Mkuu wa Serikali

Posted on: February 29th, 2024


Maofisa Habari na Mawasiliano wa Serikali nchini wametakiwa kuzungumzia mafanikio makubwa yaliyofanywa na Serikali katika sekta zote nchini.


Hayo yamesemwa leo na Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo Mobhare Matinyi wakati akiongea na maafisa habari na mawasiliano wa Serikali kwenye Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Maafisa Habari wa Serikali (TAGCO) katika kituo cha Mkutano cha Kimataifa Arusha (AICC) jijini Arusha.


Matinyi amesema kazi kubwa imefanyika hapa nchini katika sekta na maeneo mbalimbali, hivyo anatarajia maafisa habari hao kuzungumzia kila sekta bila kujali amebobea eneo gani.


“Fani hii ni pana sana,natarajia kila afisa habari na mawasiliano aweze kuzungumzia kila sekta au eneo katika uchumi, jiografia, mazingira na maeneo mengineyo hata kama umebobea eneo jingine au umehamia eneo jipya”.


Aidha, Matinyi amesema kwamba maafisa habari hao wanao wajibu wa kutekeleza yale yanayofanywa na Taasisi zao kwa kupata mrejesho toka kwa wananchi pamoja na kuhakikisha wanasaidia kukuza taswira nzuri za taasisi hizo.


Kwa upande mwingine Msemaji Mkuu huyo amewakumbusha maofisa habari hao kuhakikisha wanatuma ripoti zao za kila mwezi Idara ya habari-Maelezo ambao wana jukumu la kusimamia na kuratibu shughuli za kiserikali.


Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Maafisa Habari Serikalini (TAGCO) unafanyika jijini Arusha na unatarajia kumalizika leo na inawakutanisha maafisa habari na mawasiliano wa Serikali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar

May be an image of 2 people, dais and text

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa