• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MHE. KATAMBI AMPONGEZA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MHE.PAUL CHRISTIAN MAKONDA

Posted on: April 20th, 2024

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, vijana, ajira na wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Paschal Katambi (Mb) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na kuzungumza Ofisini kwake Mjini Arusha mapemq leo Aprili 20, 2024.

Mhe. Katambi yupo mkoani Arusha kwaajili ya uzinduzi wa michezo ya Mei Mosi, kueleka kwenye Sikuku ya Wafanyakazi inayotarajiwa kufanyika kitaifa mkoani Arusha kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Mhe. Katambi amempongeza Mkuu wa mkoa na wasaidizi wake kwa maandalizi mazuri kueleka siku ya wafanyakazi Kitaifa ambapo Mhe. Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiye anayetarajiwa kuwa mgeni wa rasmi kwenye maadhimisho hayo.

Mh. Naibu Waziri Katambi pia amempongeza Mh. Paul Makonda kwa utumishi wake mzuri wakati akiwa Katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, akimsihi kuendelea kuwatumikia Wakazi wa Arusha bila ya kukatishwa tamaa na wasioitakia mema Tanzania.

Kwa Upande wake Mkuu wa Mkoa Mh. Paul Makonda amemuahidi Mh. Naibu Waziri Katambi kuwa Ofisi yake itatoa ushirikiano wa kutosha kwa kamati zote za maandalizi ya kuelekea May Mosi ili kufanikisha sherehe hizo kwa namna ilivyopangwa.


Mara baada ya mazungumzo yao, Mh Mkuu wa Mkoa na Naibu Waziri Katambi walipata nafasi pia ya kuzungumza na Kamati mbalimbali za Maandalizi ya sherehe za siku ya wafanyakazi.


Mheshimiwa Naibu Waziri Katambi aliambatana na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) Tumaini Nyamhokya na Muwakilishi wa Kamishna wa  Ajira,Ofisi ya Waziri Mkuu na  Katibu tawala wa Mkoa wa Arusha Bwana Missaile Albano Mussa.


20April

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa