• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MIKATABA 18 YENYE THAMANI YA BILIONI 4.07 YASAINIWA

Posted on: October 19th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amewataka wakandarasi waliosaini mikataba ya kutengeneza Barabara wakafanye kazi kwa weledi, uzalendo na kuzikamilisha kwa muda uliopangwa.

Ameyasema hayo alipokuwa akishuhudia utiaji saini wa mikataba kati ya Wakala wa barabara vijijini na Mijini ( TARURA) na wakandarasi takribani 18 kwa Mkoa wa Arusha.

Katika hatua hiyo ya kusaini mikataba Mongella amewataka wakandarasi hao wakafanye kazi zenye viwango.

Amesema,kwa kukamilisha barabara hizo kwa wakati na kwa viwango kutasaidia kushusha gharama za maisha kwa wananchi.

Aidha, amewaelekeza TARURA wakawasimamie wakandarasi hao kwa ukaribu zaidi ili wakamilishe miradi hiyo kwa wakati.

Pia, amewataka wakasimamie miradi ya barabara ya zamani ili nayo iweze kukamilika haraka.

Kwa upande wake, Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Missaile Musa amesema, kwa kitendo cha wakandarasi kusaini mikataba hadharani kitasaidia wananchi  kuwafahamu wakandarasi watakaoenda kufanya kazi katika maeneo yao.

Meneja wa TARURA Mkoa wa Arusha  Lynas Sanya amesema kwa mwaka wa fedha 2022/2023 walipatiwa jumla ya fedha za matengenezo ya barabara  zaidi ya  bilioni 18 kwa awamu ya pili na katika awamu ya kwanza mikataba 34 ilisainiwa yenye  thamani ya bilioni 14 sawa na 60%.

Awamu ya pili ya utiaji saini umewekwa katika mikataba 18 yenye thamani zaidi ya bilioni 4.07 sawa na 40%.

Amesema,kwa mwaka  wa fedha 2022/2023 TARURA  katika bajeti yake wamepatiwa zaidi ya bilioni 10 fedha zilizotokana na tozo za mafuta ili zikasaidie katika ukarabati wa barabara katika Mkoa wa Arusha.

Nae, Mkandarasi Rashidi Sevingi  kutoka kampuni ya Raly (EA) Limited amewahasa wakandarasi wengine kwenda kutekeleza mikataba waliyosaini kwa weledi ili waendelee kuaminiwa zaidi na Serikali.

TARURA  kwa mwaka wa fedha 2022/2023 wamesaini Mikataba 52 yenye thamani ya bilioni 18 kwa ajili ya ukarabati wa barabara mbalimbali za Mkoa wa Arusha.







Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MONGELLA AWATAKA WAKANDARASI WA UMEME KUWASILISHA MIPANGO KAZI YAO.

    January 28, 2023
  • KUMBUKIZI YA SIKU YAKUZALIWA MHE.DKT.SAMIA SULUHU HASSAN

    January 27, 2023
  • MAFANIKIO SEKTA YA ELIMU ARUSHA YAWA KIVUTIO KWA MAAFISA ELIMU KAGERA

    December 29, 2022
  • MPANGO WA m- mama WAZINDULIWA

    December 19, 2022
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa