• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MILIONI 100 ZA SEQUIP ZAKARABATI MABWENI MANNE SEKONDARI MRINGA WILAYA YA ARUMERU

Posted on: November 9th, 2023

Na Elinipa Lupembe


Serikali kupitia programu ya kuboresha miundombinu ya shule za sekondari - SEQUIP, imetua shule ya sekondari Mringa halmashauri ya Arusha, wilaya ya Arumeru na kutoa shilingi milioni 100 na kufanya ukarabati mkubwa wa mabweni manne.


Makamu mkuu wa shule sekondari Mringa Mwl. Kleruu Zakaria Sumaye, amesema kuwa, kiasi hicho cha fedha kimetumika kufanya ukarabati mkubwa wa mabweni manne shuleni hapo, mabweni ambayo yanauwezo wa kulaza wanafunzi  160, wanafunzi 40 kwa kila bweni.


Shule ya sekondari Mringa ina jumla ya wanafunzi 1,962, Wasichana 1,342 na  wavulana 620 wa kidato cha kwanza mpaka cha sita, huku kidato cha tano na sita wakiishi bweni na kidata cha kwanza mpaka cha nne ni wanafunzi wa dahalia (hostel)


Ameyataja manufaa ya mabweni hayo pamoja na kupungumza msongamano wa wanafunzi kulala bweni moja, zaidi yatakuwa ni mazingira salama kwa wasichana wanaolala shuleni hapo kwa kuwa  shule hiyo ina idadi kubwa ya wanafunzi wasichana ukilinganisha na wavulana, ambao wamepewa kipaumbele kutokana na changamoto zinazowakumba wanaposoma shule za kutwa.


Mwl. Kleruu, ameongeza  kuwa uwepo wa mabweni shuleni licha ya kuongeza ari ya wanafunzi kujisomea lakini pia inatoa fursa kwa walimu kuwasimamia wanafunzi  muda wote, jambo ambalo wanategema litapandisha kiwango cha taaluma na kuongeza ufaulu


Awali mabweni hayo chakavu yalijengwa tangu mwaka 1953 yakiwa na umri wa miaka 70 sasa


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa