• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MIRADI YA TASAF INAWASAIDIA SANA WANANCHI

Posted on: June 7th, 2022

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia ameridhishwa  na  kasi ya ujenzi wa shule ya Sekondari Embaseri Wilayani Arumeru inayojengea kwa fedha za TASAF.

Amesema mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo inasaidia sana katika kutoa huduma kwa wananchi.

" Nimerishishwa na kasi ya ujenzi wa miradi ya TASAF niwaombe muendelee na spidi hii".

Nae, mratibu wa TASAF Mkoa wa Arusha bwana Richard Nkini amesema miradi yote ya TASAF kwa Mkoa wa Arusha ipo katika hatua za upauwaji na kupiga plasta.

Amesema kila halmashauri imepata fedha za TASAF takribani Milioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa, Matundu ya Vyoo, Ofisi za mwalimu, Majengo ya huduma ya Mama na Mtoto.

Dkt. Kihamia amefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya TASAF katika Halmashauri zote za Mkoa kwa lengo la kujionea hali ya ujenzi wa miradi hiyo.

Tangazo

  • MACHAGUZI YA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO May 17, 2022
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2022 November 24, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • SHAMBA LA STAIN WILAYANI MONDULI LAKABIDHIWA TAWA

    July 05, 2022
  • MKOA WA ARUSHA WAVUKA LENGO LA UANDIKISHAJI WATOTO CHINI YA MIKA 5

    June 29, 2022
  • WAFAMASIA ZAIDI YA 26 WAPATIWA MAFUNZO

    June 28, 2022
  • MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU 2022

    June 27, 2022
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa