• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MIRADI YOTE YA TASAF LAZIMA IKAMILIKE IFIKAPO MAI 30,2022

Posted on: April 11th, 2022

Naibu Waziri  Ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Mhe Deogratius  Ndejembi amewataka Watendaji wanaosimamia miradi ya TASAF Mkoa wa Arusha kuhakikisha wanakamilisha miradi hiyo ifikapo 31 May mwaka huu.

Mhe Ndejembi aliyasema hayo wakati wa akizungumza na wakuu wa wilaya , wakurugenzi pamoja na  watendaji wa Miradi ya TASAF Mkoa wa Arusha ambapo alisema Mkoa huo umepata fedha myingi za kutekeleza miradi hiyo hivyo fedha zilizotolewa zinatakiwa ziendane na miradi itakayotekelezwa ili thamani ya fedha iweze kuonekana na ikamilike kwa wakati .

"Kufikia tarehe 31 may miradi hii iwe imekamilika nikimaanisha majengo yote katika Mkoa huu na mimi naahidi kuja kukagua na kwayeyote atakayeleta mzaha katika matumizi ya fedha za TASAF natoa onyo asifanye, inatakiwa kuwa mzalendo kwa maslahi ya Taifa na kwa wananchi na sio maslahi yako mwenyewe " alisema

Pia Mhe Ndejembi aliwataka waratibu wa miradi hiyo  katika halmashauri zote za Mkoa wa Arusha  kuhakikisha wanawasilisha miradi hiyo kwa TAKUKURU ili iweze kufuatiliwa  kwa ukaribu .

Sambamba na hayo aliwataka waratibu katika Mkoa wa Arusha kuhakikisha wanatafuta namna ya kuokoa fedha hizo kwa kuagiza vitu kwa pamoja , kutumia mafundi wao pamoja na kutumia Force account katoka kutekekeleza miradi hiyo ili iweze kuwa rahisi na kuikamilisha kwa wakati .

"Angalieni namna ya kuokoa fedha kwa kuagiza vitu kwa pamoja hivyo mnavyosema mnatumia wadhabuni mnafanya mambo kucheleweshwa ila mkiungana kama Mkoa na kuagiza vitu vyenu kwa pamoja mtarahisisha kazi itakwenda kwa haraka tutakuwa wakali kweli na sijui kwanini Mkoa mlishindwa kukutana kama halmashauri zote na kuagiza vifaa kwa pamoja "

Kwaupande wake Mwakilishi wa Mkoa wa Arusha ambaye ni Katibu Tawala Msaidizi Said Athumani Mabie aliwataka waratibu pamoja na wahasibu kuhakikisha wanajua vizuri miradi ya TASAF inayotekelezwa katika maeneo yao ili kupata mipango kazi ya kila mradi .

Naye Meneja wa miradi ya muda na fedha kutoka TASAF Paul Kijazi pamoja na Selemani  masala ambaye ni meneja malipo kutoka TASAF walisema ili kufikia malengo ni lazima kuwe na timu moja katika kutekeleza miradi hiyo kwa kuwa ni kitu kitakachoweka ufanisi mzuri katika miradi hiyo .

Pia waliongeza kwa kuwataka watendaji kuzingatia maelekezo waliyopewa katika kutekeleza  miradi na kuibua ambayo inakuwa ni miradi ambayo ni hitaji la wananchi na kufahamu kuwa Fedha za TASAF ni fedha za Serikali na sio Fedha za TASAF .

Kwaupande wao wakuu wa Wilaya akiwamo Mkuu wa Wilaya ya Longido , Karatu pamoja na Ngorongoro waliahidi kuhakikisha thamani ya fedha hizo inaonekana kwa kutekeleza miradi yenye viwango vikuwa kikao hicho kimewapa njia sahihi ya kwenda kisimamia miradi hiyo .

Wakurugenzi kutoka katika halmashauri mbalimbali za Wilaya katika Mkoa huo walisema kikao hicho ni muhimu kwakuwa kimewapa nguvu ya kwenda kujipanga katika kutekeleza miradi kwa kushirikiana na uongozi wa Wilaya .

Mkoa wa Arusha ulipewa jumla ya shillingi bilioni 3 ambapo unatakiwa kutekeleza miradi 36 ya mradi huo wa TASAF .

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa