• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MJANE ALIYEDHULUMIWA ENEO LAKE APATIWA HATI MILIKI BAADA YA KUWASILISHA LALAMIKO LAKE KWA WAZIRI WA ARDHI MHE. SILAA..

Posted on: April 25th, 2024

Na Elinipa Lupembe

Kamishna msaidizi wa Ardhi mkoa wa Arusha Geofrey Mwamsojo leo, amemkabidhi hati ya kiwanja mama mjane Bi. Arafa Mohammed mkazi wa Olematejoo, jijini Arusha leo Apili 25,2024

Mjane Arafa ambaye aliwasilisha malalamiko yake kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi Mhe.  Jerry Silaa alipofanya Kliniki ya ardhi Jijini Arusha na hatimaye kuagiza kurejeshewa eneo lake hili ambalo anamiliki kihahali na kutengenezewa hati.

Awali, Arafa ameweka wazi kuwa, eneo hilo lilidhulumiwa na Bw. Alex Mtinange, na kuhangaika kutafuta haki yake kwa takribani miaka 15 na hatimaye, Waziri wa Ardhi kupitia Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Arusha amefanikiwa kurejeshewa eneo hilo na leo kukabidhiwa hati miliki.

"Ninaishukuru Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Dkt.Samia Suluhu Hassan, kwa kuwahudhumia wananchu hasa sisi wanyonge, namshukurj Waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa kwa kusimamia kupatikana ka eneo langu zaidi ninamshukuru Kamishna wa ardhi na timu yake, wamepambana na kuhakikiha nimepata hati ya eneo langu" Amesema Arafa


Inqsemekana kuwa, jitihada za mama huyo ziligonga mwamba, hadi jambo hilo lilipotua kwenye meza ya Waziri Silaa aliyetoa maelekezo kwa Kamishna msaidizi wa Ardhi mkoa wa Arusha kufuatilia na kuhakikisha mama huyo anapata haki yake, jambo ambalo limefanikiwa, ingawa nyumba iliyokuwa imejengwa ilikuwa imebomolewa na hivyo kubaki kiwanja pekee

Naye Kamishna wa Ardhi mkoa wa Arusha, Geofray Mwamsojo amesema mama huyo aliwasilisha malalamiko yake kwa Waziri wa Ardhi, ambapo alieleza marehemu mume wake alijenga nyumba kwenye kiwanja hicho na walikuwa wakiishi wote kama familia lakini baada ya mume wake kufariki, mwaka 2012, Bwana  Alex Mtinange, ambaye inatajwa kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti yake alijaribu kudhulumu eneo hilo.


Baada ya kugundua eneo hilo na familia ya mama Arafa aliloachiwa na Marehemu mume wake, Waziri aliamuru kurejeshewa eneo hilo na tayari ametengenezewa hati miliki na kukabidhiwa mapeme leo.


@maelezonews @ikulu_mawasiliano @ortamisemi @wizara_ya_ardhi @baba_keagan

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa