• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MKOA WA ARUSHA UNAFANYA VIZURI KATIKA SEKTA YA FEDHA NCHINI...

Posted on: November 23rd, 2023

Na Elinipa Lupembe

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K. Mongella, ameipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuboresha hali ya upatikanaji huduma rasmi za kifedha, huku akithibittisha, wananchi wa  mkoa huo, kunufaika kwa kutumia huduma hizo, kwa maendeleo ya uchumi wa mtu mmoja mmoja, mkoa na Taifa.

Mhe. Mongella amesema hayo, akitoa salamu za mkoa, muda mfupi kabla ya Ufunguzi wa, Maadhimisho ya 3 ya Wiki ya Huduma za Kifedha, yanayofanyika mkoani Arusha, kwenye viwanja vya Sheik Amri Abeid, Jijini Arusha.

Amesema kuwa, Arusha ni miongoni mwa mikoa mitano ya mwanzo, inayofanya vizuri katika Sekta ya Fedha nchini, kwa mujibu wa utafiti wa Finscope wa mwaka 2023,  utafiti unaonyesha, hali ya  upatikanaji wa Huduma Jumuishi za Fedha,  ukiongezeka na kufikia 82.2% mwaka 2023, kutoka  74% mwaka 2017, huku upatikanaji na utumiaji wa huduma kifedha kupitia Benki, ukiongezeka pia na kufikia  34% kutoka  29%.

"Kumekuwa na ongezeko pia, katika sekta ndogo za bima, Masoko ya Mitaji na Dhamana, hifadhi ya jamii na huduma ndogo za fedha, na kufikia 48% kutoka 45%, jambo ambalo linaimarisha uchumi wa wananchi, kuboresha kipato pamoja na kuboresha hali ya maisha ya kaya za wakazi wa Arusha" Amethibitisha Mhe. Mongella

Licha ya mafanikio hayo, ameweka wazi kuwa, bado kuna changamoto ya utumiaji wa huduma za fedha zisizo rasmi licha ya kupungua kufikia 3% mwaka 2023 kutoka  5% mwaka 2017 na kuzisisitiza Taasisi za Fedha kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kufahamu madhara ya kutumia hufuma zisizorasmi ambazo zina matokeo hatarishi. 

Ameyataja mafaniko mengine makubwa katika mkoa huo, ni kupungua kwa kiwango cha watu wazima wasiotumia huduma za fedha, kutoka a 21% mwaka 2017 na 15 % mwaka 2023. 

Aidha, Mhe. Mongella amebainisha kuwa, Arusha ni miongoni mwa mikoa yenye fursa nyingi za kiuchumi kisekta ikiwemo Utalii, Kilimo, Ufugaji na Madini, ambapo ukuaji na uzalishaji wa sekta hizi unategemea sana uwepo wa Sekta ya Fedha endelevu na  imara.

"Ninawashukuru wasimamizi wa Sekta ya Fedha nchini, kwa jitihada za kusimamia sekta hii  muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa nchi yetu, uwepo wa Sheria na Miongozo madhubuti, zimeendelea kupunguza  migogoro ya masuala ya kifedha licha ya kuwa bado wananchi wanakabiliwa na  changamoto za uelewa mdogo na kujiingiza kwenye mikopo  umiza kama 'Kausha damu' huku  baadhi yao, wakopeshaji binafsi na Vikundi vya Kijamii bila ya kusajiluwa wala kuwa na leseni.

Awali, Mhe. Mongella amewashukuru waandaaji kwa kuteuliwa kuandaa na kushiriki Maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa kwa mwaka 2023 yenye kauli mbiu ‘Elimu ya Fedha ni Msingi ya Maendeleo ya Kiuchumi’’


#ArushaFursaLukuki




Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa