• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MKOA WA ARUSHA WAPITISHA RASIMU YA BILIONI 406.1 BAJETI YA MWAKA UJAO WA FEDHA 2024/2025

Posted on: March 9th, 2024


Kamati ya ushauri ya Mkoa wa Arusha RCC,  imepitisha shillingi bilioni 406.1 ikiwa ni rasimu bajeti ya mpango mapaoto na matumizi wa mkoa wa Arusha, kwa Mwaka ujao wa 2024 /2025.


Kamati hiyo imepitisha rasimu ya bajeti hiyo, wakati wa kikao cha kujadili utekelezaji wa shughuli za Mwaka wa fedha wa 2023/2024 kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mwenyekiti wa kikao  hicho, Mkuu wa Wilaya ya Karatu Dadi Kolimba, amewataka wajumbe wa kikao hicho kuwa mstari wa mbele na kuhakikisha wanasimamia  vyema ukusanyaji Mapato katika halmashauri na  Wilaya zao, ili kukabiliana na upotevu wa Mapato kutoka kwa watumishi wasio waamunifu .


Mbali na kupitisha bajeti hiyo wajumbe hao waliweza kujadili kuhusu ukusanyaji wa Mapato ambapo katika Mwaka 2023/2024, Mapato yanabainishwa kuongezeka kwa asilimia 7 ambapo halmashauri zilikusudia kukusanya shillingi bilioni 75 na katika Mwaka wa fedha 2024/2025 zimekusudia kuongeza na kukusanya shilingi bilioni 81 .


Aidha kaimu Mwenyekiti huyo amewataka wakuu wa Wilaya  ikiwepo Wilaya ya Arusha Mjini kuhakikisha wanawachukulia hatua watumishi ambao si waaminifu, na wamekuwa wakifanya ujanja katika ukusanyaji wa Mapato .


Kwaupande wao wajumbe wa kikao hicho wameahidi kuweza kusimamia vizuri shughuli za ukusanyaji wa Mapato ili kutimiza azma ya Serikali ya kuwa na ukusanyaji wenye tija .

#arushafursalukuki 




                        
                       
                        </div>
                        <!-- /.right-sidebar-content -->
                        <!--/END RIGHT SIDEBAR CONTENTE SECTION-->
                    </div>



<div class=

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa