• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZUNGUMZIA LENGO LA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA VIONGOZI WA TAKUKURU NCHINI

Posted on: December 16th, 2024

Na. Elinipa Lupembe  



Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU)  Crispin Francis Chalamila akizungumza kwenye Mkutano wa Mwaka wa Viongozi wa TAKUKURU unaofanyika mkoani  Arusha, kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha ukumbi wa Lake Nyasa, leo Desemba 16, 2024.



Chalamila ameeleza lengo la Mkutano huo ni pamoja na kufanya tathmini ya utendaji kazi wa TAKUKURU kwa madhumuni ya kuimarisha na kuboresha utendaji kazi, hivyo kuimarisha mapambano dhidi ya rushwa. 



"Viongozi  wa TAKUKURU watapata fursa ya kubainisha mafanikio tuliyoyapata kwa mwaka mzima, changamoto zilizotukabili na kubadilishana uzoefu wa namna ya kukabiliana na changamoto, kuweka mikakati jinsi ya kuendelea kushirikiana na wadau wengine, kujipanga vema, kupata mafanikio zaidi ili kuimarisha mapambano dhidi ya rushwa nchini" Amesema



Aidha, Mkurugenzi Chalamila amebainisha kuwa, Rushwa bado ni tatizo la kidunia, nayotumika kupoka haki ya mtu aliyeistahili na kumpa yule ambaye hakuistahili kutokana na jukumu la kutoa haki amepokea Rushwa na kupindisha sheria.



"Rushwa inawanyima wananchi wengi hasa maskini fursa ya kupata huduma bora za kijamii kutokana na baadhi ya watendaji wasio waaminifu kuzitumia fedha zinazotengwa kuboresha huduma hizo kwa maslahi binafsi" 



Hata hivyo Amesisitiza kuwa, Mkutano huo utafanya Tathmini ya  yaliyojiri kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba,2024, , ili kuweza kujipanga vema kusimamia haki, kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kwa uchaguzi Mkuu 2025.



Takukuru Tanzania  Ofisi ya Rais - Tamisemi Ofisi ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Kwanza Ikulu habari Zanzibar Makonda Rc Paul


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa