• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MWENGE WA UHURU WAWASILI ARUSHA DC

Posted on: July 20th, 2024


Na Elinipa Lupembe


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi amepokea Mwenge wa Uhuru 2024 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Meru, Mwl. Zainabu Makwinya, kwenye Soko la Chekereni kata ya Kiserian,wilaya ya Arumeru leo Julai 20, 2024.


Ukiwa katika Halmashauri ya Arusha Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Godfrey Eliakimu Mnzava atakimbiza umbali wa Kilomita

145.3  na kukagua miradi 6 yenye thamani ya shilingi Bilioni  9.09.


Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru utatembelea mradi wa Uhifadhi wa chanzo cha maji Mungusi kata ya Mlangarini, Kikundi cha Vijana  Agri-genius Youth Group Mlangarini wenye thamani ya shilingi milioni 30, kuweka Jiwe la Msingi Kituo cha Mafuya cha Puma Oloirien, mradi wenye tahamni ya shilingi milioni 590,  kutembelea Mradi wa Shule ya Enaboishu Academy wenye thamani Milioni  460.9


Aidha, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru utazindua Mradi wa Ujenzi wa Mabweni mwaili  ya wasichana  shule ya sekondari Mringa yaliyojengwa na Serikali kupitia mradi wa SEQUIP kwa gharama ya shilingi milioni 260, atatembelea mradi wa ujenzi wa barabara ya Habari Maalum - Hospitali ya Olturumet mradi wenye thamani ya shilingi milioni 474.9, ataweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Majengo manne (wagonjwa wa nje(opd), mionzi, maabara na mochwari)) hospitali ya Halmashauri ya Arusha  Olturumet wenye thamani ya shilingi milioni 900, atatembelea Mradi wa Maji Safi Oldonyosambu wenye thamani ya shilingi bilioni  6.38 pamoja na kutembelea chuo cha ufundi Olkokola


Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024 ni "Tunza Mazingira, Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa ujenzi wa Taifa Endelevu"


Mwenge wa Uhuru Oyeeeeeee




                        
                       
                        </div>
                        <!-- /.right-sidebar-content -->
                        <!--/END RIGHT SIDEBAR CONTENTE SECTION-->
                    </div>



<div class=

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa