• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MWENYEKITI SABAYA AWASISITIZA WANAFUNZI ARUSHA, KUSOMA KWA BIDII

Posted on: March 21st, 2024


Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa, Loy Thomas Ole Sabaya, amewasIsitiza wanafunzi kutumia fusa waliyonayo kusoma kwa bidii na kujikita zaidi kwenye masomo, kwa kuwa tayari Serikali yao, imewaandalia mazingira mazuri na rafiki ya kujisomea.


Mwenyekiti Sabaya ametoa wito huo, alipozungumza na wanafunzi wa shule ya Msingi Nasholi, halmashauri ya Meru, wilaya ya Arumeru, wakati Kamati ya Siasa ilipofanya ziara ya Kukagua miradi ya Maendeleo katika halmshauri hiyo, ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020 - 2023 mkoa wa Arusha kuanzia mwezi Julai - Desemba, 2023.


Amefafanunua kuwa, Serikali ya Awamu ya sita, imefanyakazi kubwa na kuwekeza fedha nyingi katika kujenga na kuboresha miundombinu katika sekta ya elimu, hivyo ni jukumu la wanafunzi sasa kusoma kwa bidii ili kufikia ndoto zao, lakini zaidi kupata  ujuzi na maarifa yatakayowawezesha kulitumikia Taifa hapo baadaye.


"Serikali ya mama Samia, imewajengea shule nzuri, tumieni fursa hii adhimu kusoma, msidanganyike na kuacha shule, hakikisha unaelekeza akili zote kwenye masomo ili kufikia ndoto zenu, wapo waliosema wanataka kuwa madaktari, wahandisi, walimu, hakikisheni mnafika vyuo vikuu" Amesema Sabaya.


Hata hivyo, amewataka walimu na wazazi kushirikiana  kuwasimamia watoto ili waweze kuhitimu masomo yao kama kufikia malengo ya Serikali ya kuhakikisha watoto waote wakitanzania wanapata elimu.


Aidha amewasisitiza wazazi kuhakikisha wanawapa watoto wao, mahitaji yote ya Msingi ikiwemo kuwa na utaratibu wa kuwapa watoto chakula cha mchana wawapo shuleni.


Awali, mradi huo wa ujenzi wa shule mpya ya Msingi Nasholi, imejengwa na Serikali kwa gharama ya shilingi milioni 348.5 kupitia programu ya kuboresha miundombinu ya shule za Msingi Tanzania Bara (SEQUIP).


#ArushaFursaLukuki




                        
                       
                        </div>
                        <!-- /.right-sidebar-content -->
                        <!--/END RIGHT SIDEBAR CONTENTE SECTION-->
                    </div>



<div class=

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa