• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

NAIBU WAZIRI MKUU: MAAFISA MIPANGO NI MOYO WA TAASISI NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA..

Posted on: November 28th, 2023

Na Prisça Libaga Arusha


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Doto Biteko amesema Maafisa mipango ndio moyo wa Taasisi yoyote hivyo kuwataka wanafanye Kazi zao kwa Lengo la kupanga mipango thabiti kwa  maendeleo ya jamii na Taifa.


Dkt Biteko ameyasema hayo  wakati akimuwakilisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye ufunguzi wa Kongamano la wanamipango linalofanyika kwa siku Tano Mkoani Arusha na kuwataka  maafisa hao kutumia Taaluma zao kuleta maendeleo.


Amewataka kuwa na mipango ya Muda mrefu inayotekelezeka ili kuhakikisha nchi inapiga hatua kwenye sekta mbalimbali wanazosimamia na hivyo wananchi nao wanapata maendeleo.


"Maafisa mipango ndio moyo wa Taasisi na jukumu lao ni Kubwa hasa kwenye kupanga na kuhakikisha mipango hiyo inatekelezeka kwa wakati ulipo na hata miaka ya baadae" amesema Biteko.


Kongamano hilo la siku nne linafanyika wa mara ya kwanza tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipounda Wizara ya Mipango na Uwekezaji


Pamoja na mambo mengine wataalamu hao watajadili namna ya kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo.


Awali Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof.Kitila Mkumbo amewataka Maafisa Mipango kuanza Maandalizi ya mpango mpya wa Taifa wa maendeleo baada ya Mpango wa Sasa kufikia tamati mwaka 2025.


Prof Mkumbo ametoa Kauli hiyo wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo la Wanamipango 2023 na kusema kuwa uandaaji wa Mpango mpya wa maendeleo wa Taifa utafanywa na Maafisa hao.


"Tunaandaa mpango mpya wa Taifa wa maendeleo ambao unaanzia mwaka 2026 wahusika wakuu wa uandaaji wa Mpango huo ni nyie ambao Leo mmekuwa hapa na hivyo kila Moja wenu ajiandae kwa Kazi hiyo".alisema Prof Mkumbo


Kwa Upande wake Waziri wa Fedha Dkt.Mwigulu Nchemba amesema kwamba sekta ya Mipango huwezi kuitenganisha na sekta ya fedha hivyo kila Moja wetu anao wajibu wa kutumia sekta ya mipango kwa maendeleo ya Taifa letu hivyo wajibu wetu kila Moja kujua na kutumia mipango ya maendeleo kwa matumizi sahihi ya Rasilimali.


Nae Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema kwamba kada ya mipango ni muhimu sana ikaendana na mipango ya maendeleo yenye muelekeo Moja ndio maana wizara hiyo inao mfuko wa maendeleo ya barabara unaokusanya karibia bilioni 600 kwa maendeleo ya barabara zetu.


Maafisa mipango kutoka halmashauri Taasisi za umma wizara na idara za serikali wanakutana kwa siku nne Mkoani Arusha kwa Lengo la kujadili namna Bora ya kupanga maendeleo katika taasisi zao.


Kauli mbiu ya Kongamono hilo ni "Fikra za pamoja na utekelezaji ulioratibiwa kwa ustawi jumuishi"


#arushafursalukuki


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa