• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

NAIBU WAZIRI WIZARA YA UCHUKUZI AWASILI MKOANI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI...

Posted on: October 17th, 2023

Na Elinipa Lupembe


Naibu Waziri wizara ya Uchukuzi Mhe. David Kihanzile (MB) amefika kwenye Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha na kupokelewa na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Missaile Albano Musa.

Naibu Waziri huyo, amesema kuwa yupo mkoani Arusha kwa ziara ya kawaida ya kikazi ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi na upanuzi wa miundombinu ya  Kiwanja cha Ndege Arusha eneo la Kisongo Jijini Arusha.

Mhe. Kihanzile ameweka wazi kuwa, lengo la Serikali kukarabati na kuongeza miundombinu ya kiwanja hicho ni kuwa na miundombinu rafiki yenye uwezo wa kuwahudumia wasafiri sambamba na kupokea idadi kubwa ya wasafiri, kutokana na uhitaji mkubwa wa wasafiri wanaofika mkoani Arusha ikiwemo watalii wa ndani na wale wa kimataifa wanafanya safari za ndani ya nchi.

Akizungumza na Naibu Waziri huyo, Katibu Tawala mkoa wa Arusha amemkaribisha na kumshukuru kwa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kumuhakikishia hali ya  amani na usalama wa mkoa huo kwa sasa hukua akiahidi ushirikiano kipindi chote atakachokuwa kwenye mkoa huo.

Hata hivyo Katibu Tawala huyo, amethibitisha umuhimu wa Kiwanja cha ndege cha Arusha kwa wakazi wa mkoa huo pamoja na wageni wa ndani na nje ya nchi, hivyo hakusita kuipongeza na kuishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kuendelea kupanua miundombinu ya uwanja huo, ambao licha ya kutoa huduma za usafiri lakini unachangia ukuaji wa uchumi wa mkoa wa Arusha na wananchi wake.

"Kwa sasa Kiwanja cha Arusha kinahudumia wasafiri wengi kwa siku, kikiwa na watu wanaofanya safari za ndani ya nchi na ndani ya mkoa wa Arusha, kuna ndege ndogo za watalii wanaokwenda kutembelea  mbuga za wanyama na wapo watalii wanotoka mbugani kuelekea Zanzibar, kwa idadi hiyo kubwa ya wasafiri uwanja huo unatakiwa kutoa huduma zake kwa saa 24 za siku". Amebainisha Afisa Tawala huyo

Ikumbukwe kuwa ukarabati wa miundombinu ya kiwanja cha ndege ni utekelzaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi Ibara ya 68 2020 -2025 inayoelekeza serikali kuimarisha miundombinu ya utalii ikiwemo kujenga na kukarabati barabara zilizopo ndani ya maeneo ya vivutio vya utalii, mmadaraja
njia za miguu, viwanja vya ndege.

#ArushaFursaLukuki
#KaziInaendelea






Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa