• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

NENDENI MKAILINDI MIUNDOMBINU YA MRADI HUU-GERSON MSIGWA

Posted on: September 12th, 2022

Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa idara ya habari maelezo Gerson Msigwa amewataka wananchi wa Jiji la Arusha na maeneo ya jirani kuwa walinzi wa miundombinu ya miradi ya Maji katika Jiji hilo.

Ameyasema hayo alipokuwa akitembelea na kukagua mradi mkubwa wa Maji safi na usafi wa mazingira Jijini Arusha.

"Huu mradi ili uweze kudumu vizazi vingi unatakiwa kulindwa na wananchi wenyewe hasa miundombinu yake".

Msigwa amesema mradi huo utagharimu bilioni 520 na ni mradi wa pili kwa kupatiwa fedha nyingi Tanzania baada ya mradi mkubwa wa Maji uliopo Mkoani  Mwanza.

Mradi huo wenye visima 56 ambavyo ni vya kwanza kwa urefu nchini Tanzania, utawanufaisha wananchi zaidi ya laki sita ndani ya Jiji la Arusha na maeneo ya jirani.

Aidha, Msigwa amewataka wataalamu kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (AUWASA) kutoa huduma bora kwa wananchi huku wakilinda miundombinu ya miradi ya Maji kwani Serikali imeongeza bajeti ya Wizara ya Maji ili  huduma ya maji iwafikia wananchi kwa ukaribu.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira(AUWSA) Mhandisi Justine Rujomba amesema kupitia mradi huo wa bilioni 520 mamlaka imeweza kuongeza wateja wake wapya takribani 4500 wameshapatiwa huduma ya maji.

Pia, Mhandisi Rujomba amesema kupitia mradi Akimkosa, amesema  wataweza kutoa huduma ya usafi wa mazingira kutoka asilimia 7.66 hadi asilimia 30 yenye idadi ya watu 201,811 kutoka watu 30,000.

Amesema mradi huo ulianza Novemba 2017 na unatarajiwa kukamilika Juni 2023 ukiwa umegharimu kiasi cha bilioni 520 fedha kutoka Serikali ya Tanzania na benki ya maendeleo Afrika (AfDB).

Msemaji Mkuu wa Serikali yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Arusha ambapo atatembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA MIAKA 2 YA MAMA SAMIA AKIWA MADARAKANI

    March 19, 2023
  • BONANZA LA MIAKA MIWILI YA MAMA SAMIA

    March 18, 2023
  • UZINDUZI WA KITABU CHA MIAKA MIWILI YA DKT.SAMIA

    March 14, 2023
  • TUMERIDHISHWA NA MIRADI-KAMATI YA SIASA MKOA

    March 09, 2023
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa