• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

POLISI YAWASHUKURU WANANCHI WALIOFANYA MABORESHO UJENZI WA KITUO CHA POLISI....

Posted on: May 7th, 2024

Na. Mwandishi, Jeshi la Polisi Arusha.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za Serikali katika kuboresha mazingira bora na yakisasa katika vituo vya Polisi Mkoani humo huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wananchi


Hayo yamebainishwa Leo na Mkuu wa Polisi Jamii Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Peter Lusesa wakati akikabidhiwa ofisi ya Upelelezi Wilaya ya Arushabaada ya kufanyiwa marekebisho na wadau wa masuala ya usalama ili kutoa huduma bora kwa wateja.


ACP Lusesa amesema Jeshi hilo kwa sasa nalolimebadilika kiutendaji kutokana na mabadiliko ya kidunia ambapo amewaomba wananchi hao waliojitolea kuboresha ofisi hiyo, watambue kuwa Jeshi hilo litaendelea kutoa huduma bora na za kisasa zinazoendana na mabadiliko ya dunia ya leo.


Sambamba na hilo ACP Lusesa amewataka Maafisa, wakaguzi na askari wanaotoa huduma katika kituo hicho kuhakikisha wanatoa huduma nzuri kwa wananchi ambao wanalitegemea Jeshi la Polisi huku akiwataka kutambua kuwa Mkoa wa Arusha ndio kioo cha Tanzania katika anga la kimataifa na kitovu cha utali hapa nchini.


Kwa upande wake Nabii Bahati Mwakalinga wa kanisa la Divine Ministry amesema kitu kilicho wasukuma yeye na wenzake ni kutokana na kuona mazingira ambayo sio rafiki kwa wapelelezi katika kufanya kazi yao ambapo waliona ni vyema kukarabati ofisi hizo ili kuwawekea mazingira rafiki kwa askari na wananchi wanaofika kituoni hapo kwa ajili ya huduma.


Nae Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/Insp Anna Mboya ambaye ni Msaidizi wa Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Arusha amebainisha kuwa kwa sasa wanatoa huduma katika mazingira rafiki kitendo kilichosaidia kurahisisha shughuli za upelelezi na kupata ukweli wa Jambo linalopelelezwa.


Mkuu wa Polisi Wilaya ya Arusha Mjini Mrakibu mwandamizi wa Polisi SSP George Malema amesema kwa sasa kituo hicho kimekuwa ni kituo cha mfano Tanzania ambapo amesema kuwa maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wamekuwa wakifika kituoni hapo kujifunza na kuona maboresho makubwa yaliyofanywa katika kituo hicho.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa