• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

‘RAIS SAMIA ANATAKA WANAFUNZI WAPATE CHAKULA KWENYE BWALO’

Posted on: September 18th, 2024

Ofisi ya Rais - Tamisemi 



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameuelekeza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa bwalo la Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sayansi ya Mkoa (Longido Samia Girls)  ifikapo Novemba mosi, 2024.



Akizungumza leo Septemba 18, 2024 alipotembelea shule hiyo, Waziri Mchengerwa amesema dhamira ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni wanafunzi wake wapate chakula kwenye bwalo.



« serikali imeshaletewa fedha zote kwa ajili ya ukamilishaji wa Bwalo la chakula kwa wanafunzi lakini mpaka sasa bwalo halijakamilika watoto wanapata shida wakati wa wanakula chakula, Rais Samia anataka wanafunzi wake wale kwenye Bwalo na sio kama wanavyoteseka kwa sasa, »amesema. 



Amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Longido kuhakikisha anasimamia ujenzi huo na mafundi wafanye kazi usiku na mchana kwa ubora na kuzingatia thamani ya fedha.



Aidha Mhe. Mchengerwa amesisitiza uwekaji wa miundombinu ya Nishati Safi ya kupikia ili shule hiyo iweze kutumia Nishati hiyo kupikia na kuachana na kuni banifu au mkaa ambao una athari kwa afya ya binadamu.



Shule hiyi  inajengwa kupitia mradi wa Uboreshaji wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) na imekwishapokea sh. Bilioni 4.1 kwa ajili ya majengo yote yanayohitajika na hadi sasa ina wanafunzi zaidi ya  170 wanaoendelea na masomo ya kidato cha tano.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa