• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RAS ARUSHA AGIZA KUOTESHA  MITI SHULE MPYA YA MSINGI KIJIJI CHA LEMANDA...

Posted on: November 30th, 2023

Na Elinipa Lupembe


Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Albano Musa, ametembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa shule Mpya ya Msingi  kijiji cha Lemanda kata ya Oldonyosambu, halmashauri ya Arusha na kuagiza kuotesha miti katika maneo yanayozunguka shule ili  kuyatunza na kuyahifadhi mazingira hayo.


Katibu Tawala huyo, licha ya  kuridhishwa na hatua za utekelezaji wa mradi huo, ameuagiza uongozi wa halmashauri, kufanyia kazi marekebisho madogo madogo yaliyobaki, ili mradi huo ukamilike kwa viwango vya ubora vilivyoainishwa na Serikali.


Amewasisitiza kuotesha miti kwa wingi, ilo kuanza kuyatunza mazingira na kuwafundisha watoto kujenga tabia ya kupanda miti katika maeneo yanayowazunguka.


"Majengo yameshakamilika, sasa otesheni miti ili kuyatunza na kuyapendezesha mazingira haya, wanafunzi wanatakiwa kujengewa uwezo wa kutunza mazingira, shule ikiwa na miti, ni rahisi kwao kujenga tabia ya kupanda miti hata kwenye maeneo yao tofauti na shule, Ni jukumu lentu kuwafunza wanafunzi kuotesha miti" Amebainisha Missaile.


Aidha amewaagiza viongozi wa vijiji na kata, kuwapa ushirikiano walimu watakaopangiwa kufundisha kwenye shule hiyo ili wawe hutu katika kitekeleza majukumu yao kwa ufanisi.


Akiwasilisha taarifa ya Mradi huo, Msimamizi wa mradi huo, amesema kuwa, mradi  unatekelezwa kwa gharama ya shilingi milioni 306.9, fedha kutoka Serikali Kuu kupitia Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Fursa sawa katika Ujifunzaji Bora kwa Elimu ya Awali na Msingi Tanzania Bara (BOOST).


Ukiwa umejumuisha ujenzi wa jengo la utawala, vyumba vya madarasa 2 vya madarasa ya awali ya mfano, vyumba 7 vya madarasa ya shule ya msingi pamoja na matundu 16 ya vyoo.


Ikumbukwe kuwa, miradi hiyo ya ujenzi wa miundombinu shule za msingi ni utekelezaji wa Ilani ya CCM, Sura ya tatu Ibara ya 79 kifungu (q)Kukarabati miundombinu ya kufundishia na kujifunzia na kifungu (C)Kuboresha uratibu na usimamiaji wa stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu.




Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa