• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RAS  ARUSHA APONGEZA UBORA WA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA WALIMU SEKONDARI KIUTU....

Posted on: November 30th, 2023

Na Elinipa Lupembe


Katibu Tawala mkoa wa Arusha, Missaille Albano Musa, ametembelea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa nyumba ya walimu, shule ya Sekondari Kiutu, halmashauri ya Arusha, mkoa wa Arusha.


Katibu Tawala huyo, licha ya kuupongeza uongozi wa halmashauri hiyo, kwa usimamizi mzuri wa mradi huo, uliokamilika ukiwa na viwango vinavyoendana na thamani ya fedha zilizotolewa na Serikai

li, ameelekeza mradi huo kuanza kutumika, kwa walimu kuhamia shuleni hapo huku akiwasisitiza kuzingatia utunzaji wa miundombinu ya nyumba hiyo.


Hata hivyo ameipongeza serikali ya awamu ya sita, chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwajali walimu, kwa kuwekeza kwenye miundombinu ya shule sambamba na ujenzi wa nyumba za walimu na kusisitiza kuwa, miundombinu hiyo utarahisishaa tendo la kujifunza na kufundisha.


Akiwasilisha taarifa ya mradi huo, Mkuu wa shule sekondari Kiutu, Mwl. Upendo Lembris, amesema kuwa, Serikali kupitia mpango wa kuboresha Miundombinu ya Elimu Sekondari nchini (SEQUIP),  imejengea nyumba ya walimu,  yenye sehemu ya kuishi familia mbili (2in1), kwa shilingi milioni 98, shule ya sekondari Kiutu.


Amesema kuwa uwepo wa nyumba hiyo, utawarahisishia walimu kazi ya kufundisha pamoja na kuwapunguzia gharama za kupanga nyumba za watu binafsi huku wakifanya kazi kwa uhuru kwa kuwa muda wote wapo ndani ya eneo la shule  


#arushafursalukuki

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa