• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RAS MISSAILE MUSA AWASILI MKOANI ARUSHA

Posted on: August 3rd, 2022


Katibu Tawala Mkoa wa Arusha bwana Missaile Albano Musa leo amekabidhiwa  rasmi ofisi na aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia.

Katika makabidhiano hayo bwana Albano Musa amesema amekuja kuendeleza kazi ya Serikali iliyokwisha kuanzwa na mtangulizi wake Dkt. Kihamia.

Aidha, amewataka watumishi wa Mkoa wa Arusha kufanya kazi kwa ushirikiano ili kutoa huduma bora kwa wananchi.

Nae, Dkt. Kihamia amesema alipata ushirikiano wakutosha kutoka kwa watumishi wote.

Pia, amemuhakikishia Bwana Missaile Musa kuwa changamoto ni zile zile hakuna jipya hivyo anaamini atazimudu.

Katibu Tawala Msaidizi Elimu bwana Abel Ntupwa amesema, kupitia Uongozi wa Dkt. Kihamia ameweza kujifunza mengi ambayo atawafundisha watumishi wengine katika sekta yake ya elimu.

Nae, Katibu Tawala Msaidizi Afya Dkt.Silvia Mamkwe amesema Dkt. Kihamia alijitaidi kuwajali walemavu kwa kuwasaidia katika Uongozi wake, hivyo ni jambo la kuigwa na kila mtu.

Katibu Tawala Msaidizi utawala na rasilimali watu bwana David Lyamongi amemtaja Dkt. Kihamia kama mtu aliyejali watumishi wa ngazi za chini zaidi hasa katika kupata stahiki zao, hivyo wataliendeleza hilo katika kukuza ufanisj wa watumishi.

 Akizungumza kwa niaba ya wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Arusha, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli  bwana Rafael Siumbu  amesema wao wamejivunia mengi kutoka kwa Dkt. Kihamia hivyo wapo tayari kutoa ushirikiano kwa Katibu Tawala mpya ili kuleta maendeleo kwa Mkoa wa Arusha.

Vilevile, viongozi hao wamemkaribisha Katibu Tawala mpya bwana Missaile Musa na kumuaidi kumpa ushirikiano na kufuata maelekezo yake.






Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MONGELLA AWATAKA WAKANDARASI WA UMEME KUWASILISHA MIPANGO KAZI YAO.

    January 28, 2023
  • KUMBUKIZI YA SIKU YAKUZALIWA MHE.DKT.SAMIA SULUHU HASSAN

    January 27, 2023
  • MAFANIKIO SEKTA YA ELIMU ARUSHA YAWA KIVUTIO KWA MAAFISA ELIMU KAGERA

    December 29, 2022
  • MPANGO WA m- mama WAZINDULIWA

    December 19, 2022
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa