• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKALLA AKAGUA UJENZI UWANJA WA AFCON ARUSHA..

Posted on: September 5th, 2025

 *Aagiza TANROAD, TARURA, AUWSA TANESCO na TTCL kujenga Miundombinu muhimu haraka


 *Ampongeza Rais Samia kwa kutoa Shilingi Bilioni 340 kujenga uwanja huo wa kisasa


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Amos Gabriel Makalla leo Ijumaa Septemba 05, 2025 ametembea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu utakaotumika kwenye mashindano ya  Mataifa ya Afrika ya AFCON mwaka 2027 unaojengwa na serikali kwa gharama ya Shilingi Bilioni 340, kwenye Kata ya Olmot, Jijini Arusha.


Ukaguzi huo umefanyika baada ya kikao kazi kilichofanyika kikihusisha wakuu wa idara na mamlaka zinazohusika na miundombinu ya huduma za Maji, nishati, barabara na mawasiliano katika uwanja huo, wakiazimia kuteua Kikosi kazi cha wataalamu wa sekta hizo chini ya mwakilishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, ambao watakuwa uwanjani hapo muda wote kushughulikia uwekaji wa miundombinu hiyo chini ya Mpango mkakati wa dharura.


"Kama Mkoa wa Arusha tunajivunia utalii, Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mawili Royal Tour, ametangaza utalii na anatuletea Utalii wa michezo (sport tourism) na uwepo wa uwanja huu utaongeza mzunguko wa pesa utakaochochea ukuaji wa biashara na uchumi wa mtu mmoja mmoja na mkoa kwa ujumla, hivyo tunamuhakikisha Mhe. Rais kwamba tutamuwakilisha vyema, tutasimamia ukamilishaji wa uwanja huu ili kuhakikisha malengo aliyotarajia yanatimia na mkandarasi ametuhakikishia kwamba utakamilika kama ilivyopangwa Julai 2026." Amesema Mhe. Makalla.


 Aidha Mhe. Makalla amesisitiza kuwa uwanja ni mkubwa na wa kisasa wenye kukidhi viwango vya Shirikisho la soka barani Afrika CAF, akisema maamuzi haya ya Rais Samia ya kutumia mapato ya serikali kuujenga uwanja huo yanakwenda kuipa heshima Tanzania na kuwapa fursa wananchi wa Arusha na watanzania kwa ujumla kuweza  kushuhudia mashindano hayo nchini mwao, yakifanyika kwa ushirikiano wa Mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda.


Hata hivyo Mwakilishi wa mkandarasi anayetekeleza mradi huo China Railway Construction ya nchini China Mhandisi Denice  Benito Mtemi amesema ujenzi wa mradi huo umefikia asilimia 60 ukitarajiwa kujumuisha nyasi asili kwenye sehemu ya kuchezea

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKALLA AUNDA TUME KUFUATILIA SAKATA LA MACHINJIO NGORBOB ARUMERU..

    September 09, 2025
  • WAMAREKANI WATALII KWA WINGI TANZANIA- KAIMU BALOZI MAREKANI TANZANIA..

    September 11, 2025
  • RAIS SAMIA KUZIUNGANISHA MONDULI NA NGORONGORO KWA BARABARA YA LAMI..

    September 10, 2025
  • KILA LA KHERI DARASA LA SABA 2025..

    September 10, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa