• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKALLA ATAKA MPANGO MKAKATI WA UTALII UKIJUMUISHA FURSA NA MAANDALIZI YA AFCON 2027...

Posted on: September 25th, 2025

 _. *Akutana na Wadau wa utalii na kupokea changamoto na ushauri kukuza utalii*_


 _.*Ataka uhifadhi endelevu, usafi wa mazingira na utunzaji wa mazingira*_


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla @amosmakalla amefanya kikao cha pamoja na wadau wa Utalii Arusha leo Alhamisi Septemba 25, 2025, lengo likiwa kushughulikia changamoto zinazowakabili wadau na sekta ya utalii huku akisisitiza kuandaliwa kwa Mkakati wa miaka mitano wa ukuzaji utalii katika Mkoa wa Arusha.


Katika kikao hicho, CPA. Makalla amesema kuwa mkakati huo utaunganisha sekta mtambuka zinazohusiana na utalii, ikiwemo sekta ya michezo, mkakati ambao uhusika na maandalizi ya mapokezi ya wageni na watalii wakati wa michuano ya Mpira wa miguu kwa Mataifa ya Afrika AFCON 2027.


"Mpango kazi huo utaenda kutatua changamoto zilizowasilisha ikiwemo kuwepo kituo cha utalii kitakachokuwa na nyaraka za utalii, tafiti za wanyamapori na na maonesho ya tamaduni za kitanzania hivyo timu nitakayoiunda itahusisha wataalamu kutoka Serikalini na wadau wa utalii ili sote tuzungumze lugha moja kwenye safari ya kukuza utalii Mkoa wa Arusha." Amesema.


Aidha amesisitiza suala la uhifadhi endelevu Mkoani Arusha, usafi pamoja na utunzaji wa mazingira akieleza kuwa uhifadhi na utalii ni masuala yanayotegemeana na bila ya uhifadhi hakuna utalii utakaofanyika nchini.


Naye Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo Tanzania BMT Bi. Neema Yotham Msitha amebainisha kufurahishwa na mpango huo wa Mkoa akieleza utayari wa Wizara ya Michezo na Baraza kushirikiana katika maandalizi ya mpango huo utakaoeleza  pia fursa za michuano ya AFCON na namna ya kuunganisha na sekta ya Utalii.


 Baraza la michezo Taifa BMT na Bw. Eliufoo Nyambi, Mkurugenzi msaidizi  wa maendeleo ya michezo kutoka Wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo wameeleza kufurahishwa na mpango huo wa Mhe. Makalla na kueleza utayari wao katika kushirikiana na Mkoa kwenye uandaaji wa mpango huo pamoja na kuzieleza fursa zitakazotokana na michuano hiyo ya AFCON na namna ya kuiunganisha na sekta ya Utalii Mkoani Arusha.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKALLA: UFUNGUZI TAWI LA CRDB NAMANGA UTACHOCHEA BIASHARA NA UCHUMI WA WANANCHI WA MPAKANI ..

    September 26, 2025
  • RC MAKALLA ATAKA MPANGO MKAKATI WA UTALII UKIJUMUISHA FURSA NA MAANDALIZI YA AFCON 2027...

    September 25, 2025
  • WANANCHI WALIOLALAMIKIA MGAO WA MAJI WAFURAHIA UJENZI WA TENKI JIPYA LA MAJI...

    September 24, 2025
  • RC MAKALLA: ARUSHA ITAENDELEA KUWA NA AMANI SASA NA HATA  BAADA YA UCHAGUZI...

    September 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa