• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA AKERWA NA MIVUTANO BAINA YA WATENDAJI NA VIONGOZI WA JIJI ARUSHA...

Posted on: May 30th, 2024

Na Elinipa Lupembe


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amekerwa na tabia ya malumbano na kuvutana kwa viongozi, Baraza la Madiwania  na Watendaji wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, suala ambalo linasababisha kukwama kwa utekelezaji wa shughuli za  ikiwemo ucheleweshaji wa miradi ya maendeleo licha ya Serikali Kuu kutoa fedha za kutekeleza miradi hiyo kisekta.


Mhe. Makonda akemea tabia hiyo wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa Jiji la Arusha, mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa wilaya hiyo, iliyowasilishwa na Mkuu wa wilaya hiyo Mhe. Felician Mtahengerwa, taatifa iliyobainisha kukwama kwa miradi mingi ya maendeleo kutokana na mabishano, malumbano na kutokuelewana kati ya Menejimenti ya Jiji la Arusha, Baraza la Waheshimiwa Madiwani na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini.


Mhe.Mtahengerwa, amemueleza Mkuu wa Mkoa huyo kuwa, migongano mwa changamoto zinazokwamisha maendeleo ya Jiji la Arusha ni pamoja na kutokuelewana kati ya viongozi wa kuteuliwa, wa kuchaguliwa na Watendaji, jambo ambalo linasababisha adhabu kubwa kwa wananchi kutokana na miradi muhimu kukwama na hivyo kuwachelewesha kimaendeleo.


Hata hivyo, Mhe. Makonda ameweka wazi hisia zake kwa viongozi hao kuwa, ingekuwa ni mamlaka yake angeivunja Mamlaka hiyo ya Jiji la Arusha, huku akihoji umuhimu wa Jiji kuwepo katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Jiji la Arusha.

Kufuatia hali hiyo Mhe. Mkuu wa Mkoa amelitaka pia Baraza la Madiwani Jiji la Arusha kujitafakari na kuamua kuwa sauti ya wananchi kikamilifu na kupambana ili kuhakikisha maendeleo ya watu yanapatikana kwa kukamilisha miradi yote ya maendeleo kwa wakati.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa