• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI ZA USALAMA MKOA WA ARUSHA

Posted on: July 11th, 2024


Na Elinipa Lupembe


Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda @baba_keagan amekutana na kuzungumza na Wakuu wa vyombo vya Usalama Mkoa wa Arusha, kikao kazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano ofisi ya mkuu wa mkoa huomapema leo Julai 11, 2024.


Katika kikao hicho, Mhe.Makonda ameweka wazi kuwa lengo la kikao kazi hicho, ni kuwakutanisha wakuu wa vyombo hivyo vya usalama kufahamiana kwa zaidi na kujenga uelewa wa pamoja, na kuwa na mkakati wa pamoja kwa lengo la kusimamia usalama wa mali na raia wa mkoa huo kwa kuzingatia vigezo vinavyotegemeana kwa taasisi hizo.


Amesema kuwa, kikao hicho  kimuwezeshe kila mmoja kwa nafasi na Taasisi yake, tufikiri kwa pamoja namna tunavyoweza kushikamana, ili kuhakikisha usalama wa mkoa katika kuhakikisha usalama  wa wananchi na wageni wa ndani na nje ya nchi hususani watalii wanaoingia nchini kupitia mkoani Arusha.


"Licha ya kuwa kila raia ni mlizi lakini vyombo vya usalama vinalo jukumu kubwa la kuweka mazingira rafiki ya kuwezesha shughuli za kiuchumi hususani katika sekta ya utalii, zinafanyika kwa amani na utulivu ikiwa usalama utakuwa ni wa uhakika, leo tuweke mkakati wa kufanya kazi kama timu kwa kila Taasisi inatekeleza majukumu yake kwa kushirikiana" Amesema Mhe. Makonda.


Amesema kuwa, mgeni yeyote anapopokelewa kwenye  mipaka ya mkoa wa Arusha, Taasisi zote zinazohusika zihakikishe mgeni amekidhi vigezo, ili anapoanza kutembea ndani ya mkoa asisumbuliwe tena, awe huru kufanya shughuli zilizomleta Arusha kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za mgeni kuwepo nchini.


Aidha ameeleza umuhimu kufanya kazi na wanahabari wa mkoa wa Arusha, ili wawe na taarifa sahihi za shughuli zinazofanywa na Taasisi za usalama pamoja na kazi zinazoendelea, ili kuwa na uelewa wa pamoja na kuweza kutoa taarifa sahihi kutoka vyanzo sahihi kwa wananchi ili kupunguza kasi ya kuondoa taarifa za upotoshaji zinasababisha taaruki ambazo sio za msingi.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa