• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA AMTAKA MKANDARASI ANAYESAMBAZA UMEME MKOA WA ARUSHA KUKAMILISHA KAZI HIYO KWA WAKATI

Posted on: September 26th, 2024


Na Elinipa Lupembe 



Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amemtaka Mkandarasi wa Kampuni ya Ceylex Engineering (Pvt) Ltd, aliyepewa kandarasi ya kusambaza umeme kwenye vitongoji vya mkoa wa Arusha, mradi wenye thamani ya shilingi Bilioni 78.8,  kuhakikisha kazi hiyo inafanyika kwa wakati ili kufikia lengo la Serikali ya awamu ya sita la kuhakikisha nchi nzima inakuwa na umeme wa uhakika.



Mhe. Makonda ametoa rai hiyo, wakati akimkabidhi Mkandarasi tenda ya kusambaza umeme kwenye vitongoji 186 vinavyopatikana kwenye halmashauri zote saba za Mkoa wa Arusha, mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye soko la Kikatiti wilaya ya Arumeru, na kuzindua kandarasi hiyo kwenye kitongoji cha Kambi ya Mkaa wilayani Arumeru mkoani Arusha leo Septemba 26, 2024.



Hata hivyo Mhe Makonda ametumia fursa hiyo Kumshukuru Mheshimiwa Rais,  Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuwaletea wananchi maendeleo akiahidi kusimamia ipasavyo ukamilishaji wa miradi na usimamizi wa fedha zote za miradi ya maendeleo zinazoletwa mkoani Arusha.



"Nishati ni chagizo muhimu sana kwenye Taifa linalotaka kuendelea, hamuwezi kuendelea bila umeme na gharama za uzalishaji zinakuwa kubwa kutokana na gharama za nishati. Kama upatikanaji wa umeme ni wa uhakika na wa nafuu unawezesha wananchi wengi zaidi kufanya shughuli zao."Amesema Mhe. Makonda.



Hata hivyo,  licha ya kuwataka wakazi wa Mkoa wa Arusha kuendelea kuitunza amani ya Tanzania, Mhe. Makonda pia amemtaka mkandarasi wa mradi huo kuhakikisha kuwa anawatumia vijana wa maeneo husika katika kutekeleza shughuli za mradi huo ili nao waweze kunufaika kiuchumi katika utekelezaji wake.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa