• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA UJENZI WA SOKO LA MACHINGA NA UWANJA

Posted on: June 18th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda ameshuhudia hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa soko la machinga eneo la Morombo na uwanja wa mpira wa Arusha City Club katika kata ya Murieti, Jiji la Arusha.



Mhe. Makonda ameeleza kuwa miradi hiyo ni utekelezaji wa Ilani ya CCM na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akibainisha kuwa fedha za ujenzi wa soko hilo zilitengwa tangu mwaka 2021 na ni fedha za serikali kuu, siyo halmashauri.



“Niliwaambia viongozi wa Jiji la Arusha, huu mwaka ukiisha soko halijajengwa, basi ama zao ama zangu. Leo nimefika hapa kushuhudia hatua hii muhimu mbele ya wananchi na tunataka miradi yote yenye fedha tayari itekelezwe kabla ya mwezi Julai ili wananchi waanze kunufaika,” amesisitiza Mhe. Makonda.



Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, John Kayombo, amesema uwanja huo utajengwa kwa gharama ya Shilingi bilioni 9.6 na utakuwa na uwezo wa kubeba watazamaji 8,000 waliokaa. Pia utajumuisha viwanja vidogo vitatu vya mpira wa pete, mpira wa kikapu na tenisi na utatekelezwa na kampuni ya STC Construction Company Ltd na unalenga kuinua vipaji na kuongeza mapato kwa Jiji la Arusha.



Kwa upande mwingine, mradi wa ujenzi wa soko la machinga unatekelezwa na kampuni ya SUMA JKT Construction Company Ltd kwa gharama ya Shilingi milioni 710.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI.

    June 18, 2025
  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA UJENZI WA SOKO LA MACHINGA NA UWANJA

    June 18, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa