Leo 24 Mei, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ametembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Mahakama ya haki za binadamu na watu barani Afrika unaotekelezwa eneo la Lakilaki, Kata ya Kisongo Wilayani Arumeru.
Mradi huo ulioanza kutekelezwa 28/ 08/ 2023 kwa gharama ya shilingi bilioni 62.9 ukijumuisha majengo sita, unatarajiwa kukamilika kabla ya mwisho wa mwaka huu 2025.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa