• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA KUTOA MAFUTA LITA 20,000 KILA MWEZI KWA VYOMBO VYA ULINZI ARUSHA.

Posted on: July 11th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda Paul Makonda  ametangaza kutoa lita 20,000 za Mafuta ya Petroli na Dizeli kila mwezi kwa Taasisi za ulinzi mkoani humo, ikiwa ni jitihada na mkakati wa kuongeza kasi na ufanisi katika kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao..


Mhe. Makonda ametangaza kutoa kiasi hicho cha mafuta, wakati wa kikao kazi na Wakuu wa Taasisi za Ulinzi  mkoa wa  Arusha na Mhe. Makonda, kikao chenye lengo la kufahamiana na kuangalia namna ya taasisi hizo kufanya kazi pamoja kama timu, kilichofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano, ofisi ya mkuu wa mkoa huo Julai 11, 2024, 


Amesema kuwa ametoa kiasi hicho cha mafuta ili kuwahudumia wananchi, huku akiweka wazi kuwa, kufikia Mwezi Agosti hatapenda kusikia wananchi wanakosa kuhuduma,  kwa kuwa tayari ameviwezesha vyombo hivyo vindea kazi muhimu  ikiwemo mafuta, pikipiki na magari ya zimamoto,  Vyombo vingine vya ulinzi na usalama.


Katika Mgao huo, Jeshi la Polisi limepatiwa lita 12,000, Jeshi la uhamiaji Lita 2,000, Zimamoto na Uokoaji Lita 1,000, Magereza Lita 1,000 pamoja na lita 1,000 ambazo zimegaiwa kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ.


Hata hivyo, Mhe. Makonda ametangaza kupokea pikipiki nyingine 110 kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo, walioamua kutoa pikipiki hizo ili kuunga mkono jitihada za kuimarisha ulinzi na usalama Mkoani Arusha ili kuvutia shughuli za kiuchumi pamoja na utalii.


"Nafasi niliyopewa nimepewa na Dkt. Samia kupitia mapenzi ya Mungu na jukumu langu ni kutumia mazingira niliyonayo kuongeza ufanisi wa watendaji waliopo kwenye nafasi zilizopo chini yangu ili kwa pamoja tuwe na matokeo mazuri yanayoweza kuleta utoaji mzuri wa huduma kwa wananchi lakini pia heshima kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyetupa nafasi ya kumuwakilisha." Ameongeza Mhe. Makonda.


Halikadhalika pia Mhe.Paul Christian Makonda ametangaza utaratibu mpya wa kutoa kahawa na maziwa kwa vituo vyote vya ukaguzi na utendaji wa vyombo vya ulinzi na usalama ikiwemo vituo vya Polisi vinavyofanya kazi nyakati za usiku kwenye mkoa wa Arusha ili kuongeza chachu katika kuwatumikia wananchi wa mkoa wa Arusha.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa