Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongella, akifungua Mkutano wa 5 wa Ushirikiano wa Nishati Tanzania ulioshirikisha Wadau na Wakuu wa Sekta ya Nishati kutoka nchi za Afrika Mashariki, unaofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Gran Melia, Jijini Arusha, Januari 31, 2024.Mhe.
Mongella, amefungua Mkutano huo wa siku mbili, kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dotto Mashaka Biteko (Mb)#arushafursalukuki
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa