• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AKABIDHI TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO MKOA WA ARUSHA KWA WAZIRI MCHENGERWA...

Posted on: December 13th, 2023

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa (MB), amesaini kitabu cha wageni na kukabidhiwa Taarifa ya Utekelezaji wa shughuli za maendeleo za Mkoa wa Arusha na Mhe. John V.K Mongella  muda mfupi kabla ya kuzungumza na watumishi na viongozi wa mikoa hiyo miwili.


Hata hivyo, Mhe. Mongella amekabidhi taarifa ambayo imesheheni mafanikio  makubwa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kisekta, inayokadiriwa kugharimu takribani shiligi trilioni 3, miradi ambayo licha ya ubora wake, imefanya mapinduzi makubwa katika utoaji na upatikanaji wa huduma za kijamii katika mkoa wa Arusha, huduma ambazo zikiwa zimesogezwa karibu na wananchi.


"Mkoa wa Arusha, naweza kusema ni mkoa uliopendelewa, kwa kupata miradi mingi ya maendeleo katika sekta za elimu, afya, maji, miundombinu ya barabara na umeme, sekta ya Utalii pamoja na filamu ya Royal Tour, iliyoleta mapinduzi katika pato la wakazi wa Arusha, linalochangia uchumi wa mkoa na Taifa kwa ujumla, Arusha ya sasa sio ya zamani, viongozi na wananchi wanashirikiana katika kuleta maendeleo" Ameweka wazi Mhe. Mongella.


Aidha, Mhe. Mchengerwa,  amekabidhi magari 13 yaliyotolewa na Serikali kwa ajili ya Usimamizi Shirikishi wa Shughuli za Afya kwenye mikoa ya Arusha na Manyara, huku mkoa wa Arusha ukupata magari 5 na Manyara magari 8, shughuli iliyofanyika leo tarehe 13.12.2023 kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa