• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AKAGUA MRADI SHULE YA MSINGI NASHOLI MERU DC

Posted on: January 30th, 2024


Na Elinipa Lupembe


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe John V.K Mongella, ametembela na kukagua mradi wa Ujenzi wa shule mpya ya Msingi ya mikondo miwili, Nashooli Halmashauri ya Meru, ikiwa ni ziara yake ya kawadia ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa shughuli za maendeleo kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa.


Mhe. Mongella licha ya kuridhishwa na utekelezaji wa mradi huo, ametoa wiki moja kwa uongozi wa wilaya hiyo kupitia Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Meru, kukamilisha uwepo wa samani zote zinazohitajika na Mamlaka ya Maji Mijini na Vijijini wilaya (RUWASA), kuunganisha maji kwenye vyoo vyote shuleni hapo, kwa kuwa mifumo ya maji ipo tayari.


Aidha, ametumia muda huo, kuwakumbusha watalamu kuwa, Serikali imewapa dhamana kubwa ya kuwatumikia wananchi, ikiwa ni pamoja na kusimamia mali zote za Serikali katika maeneo waliyopangiwa kufanya kazi, hivyo ni vema kila mmoja akathamini na kutambua wajibu wake na kujituma bila kusubiri kusukumwa na viongozi wa ngazi za juu yake.


Amesema kuwa kila mtaalam, ameajiriwa kwa fani aliyosomea na kupewa nafasi kwenye eneo lake, hivyo kilq mmoja akiwajibika kwa nafasi yake, kulingana na fani yake kwa shirikiana na wenzake, kazi ya Serikali itakuwa rahisi na wananchi watapata huduma stahiki kama ilivyokusudiwa na si kusubiri kusukumwa na viongozi walio juu.


"Ili maendeleo ya Taifa hili yapatikane kila mtumishi  anatakiwa kuwajibika kwa nafasi yake na kwa ngazi aliyopo, haiwezekani mtalamu kusubiri maelekezo kukukumbushwa na viongozi wa juu, tambueni na kuithamini dhamana kubwa mliyopewa na serikali iko siku mtailipia, wajibikeni shirikianeni pamojq na kushirikisha wananchi wa maeneo husika" Amesisitiza Mhe. Mongella


Awali, mradi huo umetekelezwa na Serikali kwa gharama ya shilingi milioni 348.5, fedha kutoka serikali kuu kupitia mradi  wa Kuboresha Upatikanaji wa Fursa sawa katika Ujifunzaji Bora kwa Elimu ya Awali na Msingi Tanzania Bara (BOOST), uliojumuisha ujenzi wa Jengo la Utawala, vyumba vya madarasa, Madarasa ya awali ya mfano  na matundu ya vyoo.


Ikumbukwe kuwa, miradi hiyo ya ujenzi wa miundombinu shule za msingi ni utekelezaji wa Ilani ya CCM, Sura ya tatu Ibara ya 79 kifungu (q)Kukarabati miundombinu ya kufundishia na kujifunzia na kifungu (C)Kuboresha uratibu na usimamiaji wa stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa