• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA BABARABARA ZA SOITSUMB – LOSIRWA NA MAILOWA - NJOROI. WILAYA YA NGORONGORO

Posted on: November 10th, 2023


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K. Mongella, amekagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya  Soitsumb - Losirwa na Mailowa -  Njoroi, zinazojengwa kwa fedha za ufadhili kutoka Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) kupitia Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwenye Mradi wa Uhifadhi na Maendeleo wa Mfumo wa Ikologia wa Serengeti.


Mhe. Mongella amemtaka mkandarasi wa mradi huo, kuhakikisha unakamilika kwa wakati na kwa kuzingatia viwango vya ubora kwa kuwa barabara hizo ni muhimu kwa wakazi wa Ngorongoro, mradi ambao unakwenda kuondoa kero ya usafiri kwa wananchi.


"Licha ya kuwa mmeongezewa muda wa utekelezaji wa mradi, hakikisheni mnakamilisha mradi huo kwa wakati, ili kuondoa kero zinazowakabili wananchi na zaidi kutimiza adhma ya Serikali ya kuhakikisha barabara zinapitika kipindi chote cha mwaka"Amesisitiza Mhe. Mongella


Akiwasilisha taarifa ya mradi, msimamizi wa mradi huo, Mhandisi Richard Mwakasitu amesema kuwa, ujenzi huo wa barabra, unatekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.9, ukijumuisha ujenzi wa barabara za Soitsumb - Losirwa yenye urefu wa Km 12.6 na barabara ya Mailowa - Njoroi yenye urefu wa Km 11, kwa kiwango cha moramu, mradi ambao unatarajia kukamilika mwishoni mwa mwezi Desemba 2023.


Ameongeza kuwa lengo la kuboresha na kurahisisha hali ya usafiri wa wananchi  na mali na kufika kwenye huduma zote za kijamii.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa