• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AMEAHIDI KUTEKELEZA MKATABA WA AFUA ZA LISHE KWA NIABA YA WAKUU WA MIKOA YOTE  NCHINI....

Posted on: October 26th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella ameahidi kwa niaba ya wakuu wa mikoa yote Tanzania kuongeza kasi katika kutekeleza Mkataba wa Afua za Lishe nchini kama yalivyo maelekezo ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kuzingatia vigezo vilivyoainishwa na SSerikali


Mhe. Mongella ameahidi hayo mbele ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa wakati wa Mkutano wa tisa wa Wadau wa Lishe nchini, uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru mkoani ArArusha


Amesema kuwa Afua za Lishe ni ajenga muhimu yenye lengo la kuboresha hali ya lishe na kupunguza athari za utapiamlo na udumavu kwa watwato


"Mhe. waziri Mkuu  nikuahidi kwa niaba ya wakuu wa mikoa wenzangu, tutaendelea kuwajibika na kutekeleza majukumu yetu na kuchukua hatua madhubuti za kupunguza hali duni ya lishe katika mikoa yetu kwa kuzingatia zaidi maelekezo ya ofisi yako, Ofisi ya Makamu wa Rais na Ofisi ya Rais TAMITAMISEMI


Hata hivyo Mkuu huyo wa mkoa, ameweka wazi kuwa mkoa wa Arusha ni kati ya mikoa, inayofanyia kazi kwa mikataba ya Lishe, katika ngazi zote na kupata mafanikio makubwa ambayo yamepatikana  chini ya viongozi wetu wakuu wa nchinnchi


Awali Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama (MB), amesema kuwa Mkutano wa tisa wa Wadau wa Lishe umefanyika mkoani Arusha kwa sababu mkoa huo unafanya vizuri katika utekelezaji wa afua za Lishe nchininch


Mkataba wa Lishe ni mkakati wa Kitaifa ambao ulisainiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan  jijini Dodoma mwaka 2022 na baadaye kusainiwa na Wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa hamashauri kupitia ofisi ya Mkuu wa mkoa na hatimaye Maafisa Watendaji wa Kata, Mitaa na Vijiji Tanzania nzima.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa