• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AWAAGIZA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUBUNI VYANZO ENDELEVU VYA MAPATO...

Posted on: October 15th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella amewaagiza wakurugenzi wa Halmashauri za mkoa huo, kubuni vyanzo endelevu vya mapato ili kuimarisha upatikanaji wa fedha za kuziwesha halmashauri hizo kujiendesha bila mikwamo.

Mhe. Mongella amewahimiza viongozi hao kuachana na vyanzo ambavyo havidumu na kufikiria namna ya kuwa na vyanzo ambavyo ni endelevu, vitaziwezesha halmashauri kujitegemea katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo na kuwahudumia wananchi.

"Mnapaswa kuacha kutegemea vyanzo vya kuuza viwanja, ambavyo hupandisha makusanyo na pindi vinapokwisha mapato yanashuka, ushuru wa mazao sio vyanzo vya kuvitegemea havina uhakika pia, vinategemea mvua, hali ya hewa ikibadilika mapato yanayumba, jipangeni kutafuta vyanzo endelevu na sio hivyo vya kupita" Amesisitiza Mhe. Mongella.

Aidha amewatahadharisha wakurugenzi kuhakikisha usimamizi thabiti wa fedha za miradi inayoletwa kutoka serikali kuu, kwa kuzingatia maelekezo yake na  kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa fedha zilizoletwa na sio kuongeza fedha kutoka mapato ya ndani.

"Serikali inaleta fedha za miradi zikiwa na maelekezo kamili ya kukamilisha miradi, miradi kama ya TASAF, SEQUIP, P4R haiwezekani wengine wakamilishe na wengine waseme fedha hazitoshi, kila mkurugenzi ahakikishe anazingatia maeleekezo ya fedha za serikali na si vinginevyo" Amesisitiza Mhe. Mongella

Amekea tabia ya baadhi ya halmashauri kuchelewa kukamilisha miradi kwa kuwa serikali inatoa fedha za miradi zikiwa kamili na maelekezo ya utekelezaji, hivyo ni vema kila mkurugenzi na watalamu wakazingatia maelekezo ya utekezaji wa miradi inayoletewa fedha kutoka serikali kuu.

Naye Katibu Tawala Msaidizi Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi, Ramadhan Shaban Madeleka, amesema kuwa kikao kazi hicho chenye lengo la  kujadili na kupitia utekelezaji wa Hoja za Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na kujadili masuala ya mapato na matumizi, usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya halmashauri.

Awali kikao kazi hicho kimewakutanisha Watalamu wa Idara za Fedha, Biashara, Maafisa Mipango, Ukaguzi wa Ndani kutoka halmashauri saba za mkoa wa Arusha, kimefanyika kwenye ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha.

#arushafursalukuki
#KaziInaendelea



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa