• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AZINDUZI KADI MPYA YA ATM 'AMERCAN EXPRESS CARD' KUPITIA BENKI YA CRDB...

Posted on: December 7th, 2023

Na Elinipa Lupembe.


Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongella, amezindua kadi ya kielektroniki ya Kimataifa ya huduma za kifedha 'Amercan Express CARD',itakayotumika kwenye Mashine za ATM, programu inayoendeshwa kwa ushirikiano wa benki ya CRDB - Tanzania, hafla iliyofanyika kwenye hotel ya Gran Melia, mkoani Arusha.


Mhe. Mongella licha ya kuupongeza uongozi wa benki ya CRDB kwa mkakati huo muhimu kwa watanzania na  wageni wakimataifa, amewashukuru kwa kuchagua mkoa wa Arusha, kuwa ndio eneo stahili la kufanya uzindua wa programu hiyo ya kimataifa.


Ameweka wazi kuwa, Benki ya CRDB ni benki inayojulikana ndani na nje ya nchi, na kupitia Kauli Mbiu yake ya "Ulipo Tupo", ambayo imewafanya watumia huduma rasmi za fedha kuifahamu zaidi benki hiyo, inayosaidia kuimarika na kukua kwa uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla.


Ameongeza kuwa, Huduma ya Express Card itasaidia kurahisisha upatikanaji rahisi wa huduma za kifedha, hasa kwa kuzingatia asilimia 80 ya shughuli na biashara za utalii nchini, zinafanyika mkoani Arusha, wadau wa utalii wanatambua nafasi ya utalii, licha ya kuwasaidia wenyeji zaidi itawasaidia wageni wanaofika na kupita Arusha kila iitwayo leo" Amesema Mhe. Mongella.


Akimkaribisha Mgeni Rasmi, kwa niaba ya Bodi ya Benki ya CRDB na Menejimenti, Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof. Neema Mongi, amesema dhamira ya CRDB ni kuboresha na kurahisisha utoaji na upatikanaji wa huduma rasmi za kifeha ndani na nje ya nchi,  huku kipao mbele, kikiwa ni kutambua umuhimu wa huduma bora na za kisasa pamoja na kukidhi mahitaji ya wateja.


"CRDB Bank, imendelea kutafuta njia tofauti za kukidhi mahitaji ya wateja wetu, kwa kubuni mifumo tofauti ya malipo kupitia kadi za kielekroniki, zaidi CRDB imefanikiwa kuungamisha biashara zaidi ya 3900, kwa kuanzisha huduma ya Tembo Kadi na TANAPA kwenye utalii wa ndani" Amesema Prof. Neema


Awali, Makamu wa Rais, Amercan Express Card, EMEA,  Briana Wilsey, ameipongeza Benki ya CRDB kwa juhudi na mipango thabiti ya kuhakikisha hudama za kifedha zinawafikia wateja kwa wakati kupitia mifumo ya kielekroniki ambayo inatumika duniani kote.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa