• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA: KUTOKANA NA UFINYU WA ARDHI ARUSHA JIPANGENI KUJENGA MAGOROFA...

Posted on: October 20th, 2023


Na Elinipa Lupembe


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K. Mongella, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa miundombinu ya shule ya sekondari ya kata ya Sekei, mradi unaotekelezwa kwa gharama ya shilingi milioni 584.2 fedha kutoka Serikali Kuu.


Mkuu huyu wa mkoa ameushauri uongozi wa Jiji la Arusha kujipanga kujenga majengo ya ghorafa,  hali inayotokana na ufinyu wa ardhi katika jiji hilo ili kuwapa nafasi wanafunzi kufanya shughuli nyingine za mitaala ya nje kama michezo, kilimo na ufugaji.


Amesema kuwa licha ya kuwa serikali inawekeza miundombinu na kuweka mkazo kwenye taaluma, inapaswa kuzingatia ukuaji wa mtoto unaendana na muasuala ya kijamii ili aweze kukua kiakili, kimwili ja kisaikolojia.


" Ninaishukuru serikali awamu ya sita imetoa fedha nyingi za kutekeleza miradi ya elimu ili kuhakikisha watoto wote wa kitanzania wanapata elimu kwenye mazingira bora na rafiki lakini zaidi kila mtoto mwenye uri wa kwenda shule awe shuleni kwa kutoa elimu bila malipo, inayowawezesha hata watoto wanaotoka kwenye familia zenye kipato cha chini wanakwenda shule bila  kizuizi cha kushindwa kumudu gahrama" Amesema


Naye Diwani wa kata ya Sekei Mhe. Gerald Sebastian ameishukur serikali ya awamu ya sita kwa kuleta fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya kata, kata ambayo haikuwahi kuwa na shule kama ilivyo kwa kaya nyingine


"Kwa niaba ya wananchi wa Sekei tunamshukuru mheshimiwa Rais kwa kuwaonea imani wananchi wa kata yetu kata ambayo ian idadi kubwa ya wananchi lakini haikiwa na shule ya sekondari watoto wetu zasa watasoma nyumbani, kuhusu nafasi tutajipanga kuanza kujenga majengo ya kwenda juu ili kumeneji matumizi bora ya ardhi.


Naye msimamizi wa mradi huo  mkuu wa shule mama ya sekondari Kimaseki, Mwl. Joseph Manase Maro amesema kuwa jumlamya wanafunzi 80 wa kidato cha kwanza wanatarajiwa kupangiwa shule hiyo kwa mwaka wa masomo utakaoanza Januari 2024 na kuonheza kuwa watapata nafasi ya kusoma katika majengo mazuri na ya kisasa na kupunguza adha ya kutembea umabli mrefu  kwenda na kurudi shuleni.


#ARUSHAFURSALUKUKI

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa