• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RCC NI KIKAO CHA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI

Posted on: November 30th, 2021

"Mkoa wa  Arusha tumepatiwa takribani Bilioni 20.7 kwa ajili ya Miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo  ya Afya na elimu".

Kauli hiyo imetolewa na  Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella alipokuwa akifungua kikao cha kamati ya ushauri ya Mkoa (RCC), mapema leo hii, Jijini Arusha.

Mongella amesema katika fedha hizo Bilioni 2 ni fedha zilitokana na tozo za mitandao na bilioni 12.7 ni fedha za mpango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano ya UVIKO 19.

Alikadharika amesema, kwa sekta ya barabara TANROADS wamepokea kiasi cha Bilioni 13 na TARURA bajeti ya mwaka jana ilikuwa Bilioni 9 lakini mwaka huu Serikali ya awamu ya sita ikaongeza hadi kufikia Bilioni 19.

Jitihada zote hizo zinafanywa na Serikali ya awamu ya sita kwa lengo la kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma nzuri katika sekta zote iwe Afya, Elimu na watumie Barabara nzuri za viwango kwa shughuli za kujenga uchumi wao na Taifa kwa ujumla.

Pia, alisisitiza kwa vikao kama hivyo kujikita zaidi katika kuibua changamoto zinazowagusa zaidi wananchi moja kwa moja na kuzitafutia suluhu ili kujenga Mkoa wenye maendeleo  zaidi.

Kikao cha kamati ya ushauri ya Mkoa ni kikao cha kwanza cha robo mwaka 2021/2022 kikiwa na lengo la kupitia mapato na matumizi  ya bajeti kwa mwaka 2021/2022.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa