Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akizungumza na waandishi wa Habari kwenye Ripoti ya Mafanikio ya shughuli za Serikali kwa Miezi 6 ya Mhe. Makonda mkoa huo wa Arusha.Mkutano huo unaendelea mubashara kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha (AICC) ukumbi wa Simba mapema leo Novemba 17,2024.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa