• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI INAENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA Mpox – DKT. NTULI.

Posted on: September 3rd, 2024


Ofisi ya Rais - Tamisemi 



Mkurugenzi wa Kinga Wizara ya Afya Dkt. Ntuli kapologwe  amesema Serikali inazidi kuchukua tahadhari kubwa ya kujilinda dhidi ya ugonjwa wa mlipuko wa Mpox ambayo unasababishwa na kirusi cha Monkeypox.



Dr. Ntumi ameyasema hayo katika Mkutano wa Nane wa Tathimini ya Mkataba wa lishe na Kutambulisha Mpango wa Taifa wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto (TMCHIP) uliofanyika leo katika ukumbi wa Jiji Mtumba, Jijini Dodoma.



Dkt. Ntuli amesema Wagonjwa 102,997 wamethibitika kuwa na Ugonjwa huo, huku watu 223 (CFR 0.2%) wakipoteza Maisha Duniani kote ambapo nchi jirani na Tanzania; Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Msumbiji na Burundi tayari zimeripotiwa kuathirika na ugonjwa huo huku Tanzania kukiwa hakuna aliyeripotiwa kuathirika.



Amesema miongoni wa mikakati iliyochukuliwa ni pamoja na Mafunzo elekezi kutolewa kwa Watumshi 1,671, kutambua wagonjwa, tiba, IPC, Uchunguzi wa Wasafiri, upimaji wa sampuli na Uchunguzi wa wasafiri mipakani unaendelea. Hadi 28 Agosti 2024 wasafiri 139,903 wamechunguzwa na Elimu kupitia vyombo vya habari inaendelea kutolewa.



Aidha Dkt. Ntuli amewataka Waganga wakuu wa Mikoa (RMO) na Halmashauri (DMO) kuendelea kutekeleza Sheria ya Afya ya Jamii na Kanuni za Afya za Kimataifa ambazo zinataka Kutoa taarifa kwa njia ya haraka kwa Mganga Mkuu wa Serikali ndani ya saa 6 tangu kupata taarifa husika.



Ameongeza kuwa Waganga Wakuu wanapaswz kuchukua hatua stahiki za kuzuia kusambaa kwa ugonjwa na kudhibiti tukio husika, Kutekeleza hatua za makatazo mbalimbali ya udhibiti ikiwemo kuweka karantini pale inapohitajika.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa