• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SHIRIKA LA WiLDAF LATAMBULISHA MRADI WA USAID WANAWAKE SASA ARUSHA

Posted on: August 22nd, 2024

Shirika lisilo la kiserikali la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Afrika -WiLDAF limetambulisha rasmi mradi wa Wanawake Sasa ambao utatekelezwa mkoani Arusha kwa kipindi cha Miaka mitatu 2024 - 2027.


Akizungumza kwenye kikao kifupi cha kutambulisha mradi huo, kilichofanyika kwenye ofisi ya  kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Agosti 21,2024 Mkurugenzi wa shirika hilo, Anna Kulava, amesema kuwa mradi huo wa Wanawake Sasa una lengo la kuhamasisha ushiriki wa wanawake katika uongozi na maamuzi ili kubadili fikra za kutambua uwezo sawa wa wanaume na wanawake katika uongozi.


katika kipindi hicho mradi utatekelezwa kwenye halmashauri za Jiji la Arusha na Meru, ukifanya kazi ya kuwajengea uwezo wanawake na kuwahamasisha kushiriki kwenye chaguzi kwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na Uchaguzi Mkuu mwaka 2025.


"Mradi unalenga kuwafikia angalau wanawake 50 kila halmashauri na kuwajengea uwezo wa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika maeneo yao hasa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika mapema mwezi Novemba Mwaka huu" Amesema Anna.


Amesisistiza kuwa, wanawake na vijana wanapaswa kutambua kuwa uongozi ni hatua hivyo kuanza katika nafasi ndogo ndogo za uongozi ambao utamjenga na kudhhirisha kama mtu huyo akishika nafasi kubwa ya uongozi atafanya vizuri zaidi.


“Mradi huu unalenga zaidi kuwafikia na vijana  vijana na kuwajengea uwezo wa kutambua kuwa uongozi sio lazima ngazi za juu tu bali hata nafasi ndogo zina umuhimu kwa vijana.” Amesisitiza.


Kwa upande wake Kaimu Katibu tawala na Afisa Utumishi Mkuu Mkoa wa Arusha Elgin Nkya,  amewakaribisha wadau hao mkoani Arusha na kuwaahidi ushirikiano katika kutekeleza mradi huo huku akisisitiza kuwa, kuwatenga wanawake katika nafasi za uongozi ni sababu za kudumaza maendeleo hasa katika nchi za Afrika.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa