• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SIKU YA KESHO JUMATATU JULAI 01,2024; WATATIBIWA WAGONJWA AMBAO HUDUMA ZAO HAZIJAKAMILIKA KWA SIKI ZOTE SABA

Posted on: June 30th, 2024

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, ameongeza siku ya kesho Jumatatu Julai 01,2024 ili kuwapa nafasi wagonjwa walioshindwa kukamilishiwa matibabu yao kwa siku saba za Kambi ya matibabu bure Arusha, yanayofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh amri Abeid Jijini Arusha.

Amesema hayo alipotembelea na kuangalia maendeleo ya utoaji na upatikana wa huduma kwa wagonjwa wanaoendlea kumiminika kwenye kambi hiyo ya matibabu bure, ikiwa ni siku ya saba ya Kliniki ya Madaktari Bingwa na Mabingwa Wabobezi, iliyoandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha na wadau wengine wa Afya kwa siku saba, kuanzi tarehe 24  mpaka tarehe 30 Juni, 2024 ambapo leo ni siku ya saba na ya mwisho.

Mhe. Makonda amesema kuwa, wamekubaliana na madaktari na timu nzima ya madaktari bingwa, kuitumia siku ya kesho kutoa huduma kwa wagonjwa ambao tayari wamesajiliwa na matibabu yao bado hayajakamilika hivyo kulazimika kuongeza siku ya kesho ya  Jumatatu kuwahudumia wagonjwa hao.

"Tumekubaliana na Daktari wetu wa mkoa pamoja na timu nzima ya madaktari bingwa walioko hapa, kuonheza siku ya kesho Jumatatu,  hatutaongeza mtu mpya bali tumeiongeza siku hiyo maalum kwa  watu wote waliofika hapa wapate huduma iliyowaleta kwenye viwanja hivi na huduma hizo bado hazijakamilika". Amesema Mhe. Makonda

Amesisitiza kuwa,  itakuwa haina maana mwananchi amekuja tangu Alhamisi, mwingine analala kwenye uwanja huu (Sheikh Amri Abeid) na matibabu sio zoezi la dakika moja kwamba umeingia pale na kutoka umetibiwa, yapo matibabu yana process hivyo tumeionheza siku ya kesho ili wagonjwa waweze kukamilisha matibabu yao.

"Kuna mwingine tumemtuma ameenda kutoa sampuli, na baadhi yake zimetumwa mpaka Dar Es salaam kupata majibu, ukimwambia mtu huyo leo zoezi limeisha arudi nyumbami wakati safari yake ya matibabu haijakamilika utakuwa haujamtendea haki, lengo letu kila aliyeingia kwneye uwanja huu apate matibabu yake sahihi". Amesema


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa