• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TANGAZENI MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: August 15th, 2023

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Daniel Chongolo amewataka Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kuongeza juhudi katika kutangaza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Ndugu, Chongolo amesema hayo leo Mkoani Arusha aliposhiriki Kikao Kazi cha Mafunzo ya kuwajengea uwezo Viongozi wa Mkoa wa Arusha kinachoendelea katika Hotel ya The Retreat At Ngorongoro-Karatu ambapo pamoja na mambo mengine amesema Serikali inayoongozwa na CCM imekuwa ikipeleka fedha nyingi za miradi ya maendeleo kwa Wananchi lakini bado kuna changamoto kubwa kwani kuna baadhi ya maeneo Vitengo hivyo havitumiki ipasavyo kwaajili ya kutangaza mafanikio hayo.

"CCM ndiyo yenye Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020-25 na katika Ilani yetu tumeeleza bayana mambo mbalimbali tutakayoyatekeleza kwa Wananchi hivyo ni Jukumu la kila Kiongozi katika ngazi zote husika kuelezea miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa chini ya Uongozi mahiri wa Rais Samia kupitia Vitengo vya Habari na Mawasiliano Serikalini,tunataka kuona Wananchi wanapata taarifa sahihi za miradi inayotekelezwa katika maeneo yao ".alisema Chongolo

Amesema Vitengo vya Habari na Mawasiliano Serikalini vikitumika ipasavyo vitasaidia kuonyesha namna gani Serikali inavyotekeleza Ilani ya Uchaguzi ambayo ni Miradi mbalimbali ya maendeleo iliyohaidi wakati wa Uchaguzi hivyo kusaidia kuwapa uelewa mpana Wananchi wa kujua namna Ilani ya Uchaguzi inavyotekelezwa chini ya Serikali ya Awamu ya sita akitolea mfano wa Miradi ya Elimu, Afya, Maji na barabara inayoendelea Nchi nzima.

Sambamba na hilo amesema Viongozi wengi wamekuwa wepesi kukimbilia Vyombo vya Habari kuelezea kero za maeneo wanayoyaongoza, lakini Serikali inapotatua kero hizo wamekuwa wazito kutumia Vyombo vya Habari au Vitengo vya Habari na Mawasiliano Serikalini kuelezea namna Serikali ilivyotatua kero hiyo ili Watanzania waelewe.

Aidha,ndugu Chongolo amesema kuwa Maafisa Mawasiliano Serikalini wanatakiwa kuongeza ubunifu katika utendaji kazi wao kwa kuhakikisha wanayaelewa vyema maeneo wanayoyafanyia kazi pamoja na kuitumia ipasavyo mitandao ya kijamii ili kuendelea kuhabarisha umma juu ya wapi tulipotoka,wapi tulipo na wapi tunakoelekea kama Nchi.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa