• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TANZANIA KUUNGA MKONO JUMUIA YA ECSA

Posted on: June 19th, 2024


Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amesema Tanzania itaendelea kuwa mwenyeji na kuendelea kusapoti Jumuiya ya Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika (ECSA) inayowaleta pamoja wataalamu wa Afya kutoka nchi wanachama na dunia Kwa Ujumla.


Dkt. Mpango ameyasema hayo Mkoani Arusha Katika Kilele Cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Jumuiya ya Afya ya nchi wanachama wa ECSA, ambapo nchi zaidi ya tisa zimekutana kusheherekea maadhimisho hayo yaliyo tanguliwa na Mkutano wa siku tatu wa  kupata Majibu ya tafiti Mbalimbali Zilizofanywa  na  wataalam Mbalimbali wa afya duniani.


Akizungumzia faida ya Tanzania Kuwa wenyeji wa Mkutano huo Waziri wa Afya Ummy  mwalimu amesema ni pamoja na Jumuiya hiyo  kutoa msaada wa kiufundi katika Masuala ya afya nchini.


Naye mgombea aliyependekezwa nchini Tanzania kugombea nafasi ya uwakilishi wa  Ukurugenzi wa Shirika la Afya duniani Kanda ya Afrika Dk. Faustine Ndugulile Amesema ni nafasi ya Afrika Sasa nao kushiriki katika kutoa  ujuzi wao Elimu ya Afya  katika kuboresha  Afrika katika Bara zima la Afrika. 


Nchi zilizoshiriki katika Mkutano huo ni pamoja na Tanzania, Uganda, Kenya, Zimbabwe, Malawi, Lethoto, Zambia Eswatini, na Botswana  ambapo Jumuiya hiyo ilianzishwa rasmi mwaka 1974  na makao yake makuu yakiwa Arusha.

May be an image of 14 people, dais and text

May be an image of one or more people, dais and text

May be an image of one or more people and text

May be an image of 4 people, dais and text

May be an image of one or more people, dais and text

May be an image of 4 people, dais and text

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa