• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TENGENEZENI BIDHAA BORA ZAKULETA USHINDANI

Posted on: February 24th, 2023

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha ,Missaile Musa amewataka  Wakurugenzi wa Halmshauri za Mkoa wa Arusha kubaini makundi au vikundi vinavyojihusisha na uzalishaji wa  bidhaa zao ili kupata mafunzo  kutoka Tume ya Ushindani (FCC) kwa lengo la  kuongeza tija  ikiwemo  mnyororo wa thamani ,ili kuleta ushindani wa soko.

Agizo hilo limetolewa jana Jijini Arusha na Katibu Tawala,Musa wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya uhamasishaji wa masuala ya ushindani na Udhibiti wa Bidhaa Bandia kwa wazalishaji Kanda ya Kaskazini.

Alisema endapo vikundi vinavyopewa mikopo na halmashauri vikipata mafunzo ya udhibiti wa ushindani wa kibiashara vitawezesha bidhaa zao kuingia katika masoko kutokana na ubora.

Alisema lengo la kutoa agizo hilo ni kukuza biashara na mnyororo wa thamani ikiwemo udhibiti wa bidhaa bandia na ukaguzi kwa walaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali.

"Wakurugenzi wa Halmshauri shirikianeni na FCC katika kuleta ushindani wa thamani za ubora wa bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali wanaopata mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halmshauri".

Naye Mkuu wa FCC Kanda ya Kaskazini,Nonge Juma alisema, mafunzo hayo kwa wafanyabiashara wa viwanda vidogo, vya kati na vikubwa yanalengo la kuwezesha kuleta tija katika ushindani wa biashara wanazozalisha ikiwemo kudhibiti bidhaa bandia  zisizizosajiliwa na kuleta athari kiuchumi.

Alisisitiza wafanyabiashara hao na wenye viwanda kuhakikisha wanazingatia maadili ya biashara ili kuhakikisha soko linabaki shindani .

Huku Mwenyekiti wa Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI),Anup Modha alitoa rai kwa wamiliki wa viwanda,wafanyabiashara mbalimbali kuzalisha bidhaa zenye ubora na kuleta ushindani katika masoko kwa kuzingatia ushindani wa masoko ya ndani na nje ya nchi.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA MIAKA 2 YA MAMA SAMIA AKIWA MADARAKANI

    March 19, 2023
  • BONANZA LA MIAKA MIWILI YA MAMA SAMIA

    March 18, 2023
  • UZINDUZI WA KITABU CHA MIAKA MIWILI YA DKT.SAMIA

    March 14, 2023
  • TUMERIDHISHWA NA MIRADI-KAMATI YA SIASA MKOA

    March 09, 2023
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa