• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

UKAGUZI WA VYUMBA VYA MADARASA WILAYANI NGORONGORO

Posted on: November 19th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amewaagiza  wakuu wa Wilaya na wakurugenzi wote wa Halmashauri kuhakikisha utengenezaji wa madawati, Viti na  Meza kwa ajili ya Madarasa uwende sambamba na ujenzi wa Madarasa hayo.

Ameyasema hayo alipokuwa akikagua ujenzi wa Madarasa manne katika shule ya Sekondari Loliondo na ujenzi wa Madarasa mawili katika shule ya msingi shiniki Waso Wilayani Ngorongoro.

"Ninachotaka hapa ujenzi ukimalizika wa Madarasa, Viti, Meza na madawati yawe yamekamilika ili wanafunzi waingia kwenye Madarasa.


Haitakuwa na maana Madarasa yakamilike alafu tuanze zoezi la kutengeneza Viti, meza na madawati wakati vinaweza vikatengenezwa sasa kwani haviathili chochote katika  ujenzi wa Madarasa.

Diwani wa kata ya Loliondo bwana Marekani Bayo amesema kata yake imepokea fedha Milioni 206 katika shule ya Sekondari Loliondo kwa ajili ya ujenzi wa bweni na Madarasa zaidi ya 6.

Bwana Bayo amesema zaidi ya Milioni 260 zimepokelewa katika kata yake kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule ya Loliondo, shule ya Julieth Kapunguni Milioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa 2, zaidi ya Milioni 15 kwenye shule ya msingi Loliondo.

Ameishukuru Serikali kwa kuweza kuinua sekta ya elimu kwa kiwango kikubwa na kuwafanya  wananchi wake watulie eneo moja badala ya kuhama hana kila mara.








.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa