• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TUMIENI TAKWIMU ZA SENSA KULETA MABADILIKO KATIKA JAMII

Posted on: October 6th, 2022

" Takwimu za Sensa ziende kubadilisha  mfumo mzima wa nchi hasa kwa vijana kuangalia fursa zilizopo katika maeneo yao na kutengeneza ajira".

Kauli hiyo imetolewa na Kamisaa Mkuu wa Sensa Kitaifa Anna Makinda alipokuwa akizungumza na kamati ya sensa Mkoa katika kikao cha tathimini ya zoezi la sensa Mkoani hapo.

Amesema takwimu hizi ni muhimu sana katika kuisaidia Jamii kubadili utaratibu mzima wa maisha.

Ndio maana sensa ya mwaka huu ilijumuisha sensa ya watu na majengo ili kuonesha hali halisi ya maisha yetu watanzania.

Zoezi hili limefanikiwa kwa  kiasi kikubwa Kitaifa hivyo tutegemee kuona Jamii nayo itatumia takwimu hizi katika kuleta maendeleo mbalimbali.

Kufanikiwa kwa zoezi hili la sensa kumetokana na utendaji wa kizalendo na umoja  baina yetu.

Takwimu za sensa zikasaidie kuondoka migogoro ya mipaka na migogoro mingine mingi.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella  amesema kwa Mkoa wa Arusha zoezi lilienda vizuri na kwa mafanikio makubwa.

Aidha, ameishauri Ofisi ya Taifa Takwimu kuendelea kutoa elimu juu ya sensa  ili kujenga uwelewa zaidi  hasa ngazi za chini na kurahisisha zoezi lijalo kwani Jamii itakuwa na uwelewa wa kutosha.

Amesema takwimu za sensa zitasaidia kuleta maendeleo katika Jamii.

Nae,Mratibu wa  sensa Mkoa wa Arusha Leocardia Mtei amesema zoezi la sensa limefanyika vizuri na kwa ushirikiano mkubwa sana.

Kikao cha tathimini ya sensa kimefanyika Mkoani Arusha na Kamisaa wa sensa akiwashukuru wote kwa ushirikiano waliouwonesha hadi zoezi kukamilika vizuri.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa