• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TUNZENI VYANZO VYA MAJI KWA KUOTESHA MITI

Posted on: January 19th, 2022

Waziri wa nchi, ofisi ya makamu wa Rais Muungano na mazingira Mhe. Dkt.Seleman Jaffo amewataka wananchi wa wilaya ya Arumeru kuendelea kutunza vyanzo vya Maji kwa kupanda miti inayotunza Maji.

Ameyasema hayo alipokuwa akikagua vyanzo vya Maji ambayo yanatumika kwa kiasi kikubwa na Mkoa wa Arusha katika Wilaya ya Arumeru.

Mabadiliko ya tabia nchi yanatulazimisha kuongeza nguvu zaidi ya kutuza vyanzo vya Maji ili vyanzo hivi viendelee kutumika hata baada ya miaka 50.

Aidha, amefurahishwa na namna Wilaya hiyo inavyoendelea kutunza vyanzo vya Maji kwani kuna maeneo mengine vyanzo vya Maji vimeshavamiwa na shughuli za kibinadamu lakini kwa Wilaya hiyo hali ni tofauti na vyanzo vya Maji vipo vizuri.

Waziri Jaffo amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia imeweka nguvu kubwa katika kutunza mazingira ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na kivulinda zaidi vyanzo hivyo.

Hata hivyo, ameitaka halmashuri ya Meru kuongeza bajeti ya utunzaji mazingira kwani iliyopo sasa haitoshi kuhakikisha shughuli zote zinafanyika ipasavyo.

Nae,Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Eng. Richard    Luyago amemuwakikishia Waziri Jaffo kuendelea kutunza mazingira katika Wilaya hiyo na kuvilida vyanzo vya Maji.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MONGELLA AWATAKA WAKANDARASI WA UMEME KUWASILISHA MIPANGO KAZI YAO.

    January 28, 2023
  • KUMBUKIZI YA SIKU YAKUZALIWA MHE.DKT.SAMIA SULUHU HASSAN

    January 27, 2023
  • MAFANIKIO SEKTA YA ELIMU ARUSHA YAWA KIVUTIO KWA MAAFISA ELIMU KAGERA

    December 29, 2022
  • MPANGO WA m- mama WAZINDULIWA

    December 19, 2022
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa