• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TUSHIRIKIANE KUJENGA MKOA WETU

Posted on: June 3rd, 2021


Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Dk.Athuman Kihamia amesema atashirikiana na Viongozi wote wa Mkoa wa Arusha ,wadau wa maendeleo na wananchi kwamba Umoja na mshikamano ndiyo silaha pekee ya maendeleo .

Dk.Kihamia akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha  Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha ,Viongozi wa Serikali na wadau wa maendeleo waliojitokeza kumpokea alisema kuwa atafanya kazi na kila mtu katika Mkoa wa Arusha .

Alisema kuwa ni kweli katika Mkoa wa Arusha ni mwenyeji na kwamba sababu hiyo inampa fursa ya kufanya kazi na kila mtu na kudai kuwa nia ya Serikali nikuwaletea wananchi maendeleo kwamba tofauti zisizo na tija ziwekwe pembeni kazi ya maendeleo indelee .

Awali Mkuu wa Wilaya Arusha Kenan Kehongosi akimkaribisha kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa John Mongela alimhakikishia ushirikiano na Umoja na kudai kuwa Viongozi wa Arusha wana Umoja na mshikamano

Mh.Kehongosi alisema kuwa maendeleo yeyote duniani yanategemea Umoja na mshikamano na kwamba Arusha umoja  na  mshikamano  ni kipaumbele kwa kila mtu kwa sasa .

Katibu Tawala huyo alipokelewa  Mkurugenzi wa Jiji la Arusha , Dk.John Pima  ,Watumishi  wa Halmashauri ya Jiji la Arusha ,watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,na viongozi wengine  ikiwa ni pamoja na kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa wa Arusha .

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa