• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TUTAPANDA MITI ZAIDI 10,000 IFIKAPO APRILI 2023

Posted on: April 8th, 2022

Mkoa wa Arusha umeweka lengo la kupanda miti zaidi ya Milioni 10 kwa mwaka 2023, kwa lengo la kuhakikisha mazingira yanatunzwa.

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella alipokuwa akishiriki siku ya upandaji Miti Kimkoa iliyofanyika katika halmashauri ya Arusha.

Mongella amesema  swala la upandaji miti ni muhimu kwani miti inaleta uhai kwa binadamu kwa kutoa hewa safi.

Aidha, amewataka  wakuu wa shule zote kwa kushirikiana na wadau wa misitu kuanza kampeni ya upandaji Miti katika maeneo ya  Shule, Makanisa na Misikiti.

Amesema Miti ni chanzo cha Maji katika mazingira yetu hivyo inatakiwa kutuzwa na kulindwa.

Afisa Misitu Mkoa bwana Julias Achiula amesema changamoto kubwa inayopo katika sekta ya miti ni uvamizi wa maeneo ya misitu kutokana za shughuli za kibinadamu.

Pia, uwaribifu wa vyanzo vya Maji kwa ukataji holela wa miti.

Bwana Achiula amesema mpango uliopo katika ngazi ya Mkoa ni kuendelea kutoa elimu katika Jamii juu ya faida za upandaji miti na pia ufugaji wa kisasa  ili kulinda misitu.

Siku ya upandaji Miti Kimkoa imefanyika katika halmashauri ya Arusha na jumla ya miti Milioni 1.8  imepandwa.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MONGELLA AWATAKA WAKANDARASI WA UMEME KUWASILISHA MIPANGO KAZI YAO.

    January 28, 2023
  • KUMBUKIZI YA SIKU YAKUZALIWA MHE.DKT.SAMIA SULUHU HASSAN

    January 27, 2023
  • MAFANIKIO SEKTA YA ELIMU ARUSHA YAWA KIVUTIO KWA MAAFISA ELIMU KAGERA

    December 29, 2022
  • MPANGO WA m- mama WAZINDULIWA

    December 19, 2022
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa