• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

UJUMBE WA MABALOZI WA NCHI ZA EU WAWASILI MKOANI ARUSHA KWA SHUGHULI ZA KIUCHUMI NA KIJAMII

Posted on: November 23rd, 2023

Na Elinipa Lupembe.


Ujumbe wa Mabalozi kutoka, Umoja wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya, wakiwa kwenye mkutano mfupi, na  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongelwa, uliofanyika kwenye Ukumbi wa mikutano ofisi ya mkuu wa mkoa huo.


Mabalozi hao wamefika mkoani Arkika, kwa ajili kufanya kikao na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Chama cha Waendeshaji Watalii Tanzania (TATO) pamoja na kutembelea Hospitali ya Lutheran Arusha (ALMC), jijini Arusha, pamoja na shughuli nyingine za kijamii.


Awali, Mhe. Mongella  ametumia fursa hiyo, kuwakaribisha mkoani Arusha, na kuwaelezea kuwa, Serikali ya Tanzania inatambua na kuthamini ushirikiano na mchango wa Nchi za Umoja za Jumuya ya Ulaya kwenye sekta ya kijamii na kiuchumi.


Licha ya kuwakaribisha, Mabalozi hao Mkoani Arusha, Mhe. Mongella amewahakikishia hali ya usalama muda wote watakaokuwa Arusha, na yuko tayari kutoa ushirikiano muda wate watakapohitaji msaada.


"Nichukue fursa hii, kuwakaribisha Arusha, mkoa huu unazo fursa nyingi za uwekezaji, katika sekta ya Utalii na Kilimo, ninategemea mtafurahia hali ya hewa nzuri ya Arusha, pamoja na vivutio vya utalii vinavyopatikana mkoani kwetu" Amesema


Naye Kiongozi wa Mabalozi hao, ambaye ni Mkuu wa Utawala, Umoja wa Nchi za Ulaya Nchini Tanzania, Loic de Bastier, amemshukuru mkuu wa mkoa huyo,

 kwa niaba ya wenzake, kwa namna alivyo wakarimu mara walipofika ofisini kwake, na kuahidi kuendelea kuimarisha Uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Jumuiya ya Ulaya.


Mabalozi hao watafanya shughuli zao, mkoani Arusha kwa siku mbili 23- 24 .11.2023, pamoja na shughuli nyingine, watashiriki mikutano, itakayofanyika kwenye Hotel ya Gran Mellia ya Jijini Arusha.




Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa